Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Wilder asingemweza Tyson hata kwa dawa, kwanza kwa upiganaji wake wa kuruhusu ngumi nyingi kumfikia, Tyson angemwua kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kwenye betting companies Fury kapewa odd kubwa, au ndio watu washabet. Ukifata Fury inakula kwako.
 
Ila akikubahatisha habari imeisha...

hahah zile timing sio bahati
 
pambano likiisha kwa point, furry anaweza kushinda, nina uhakika wilder atamaliza pambano mapema kwa KO
 
Mara nyingi haya mapambano ni ya kupanga, tension nyingi ni za ku-create.
Utakuta eg wanasafiri kwenye dege moja la kifahari, wakifika sehemu ya kupimia uzito, wanazuga kuzichapa kavukavu, huku wakijua kuna mabaunza wa kuwaamua.!
Ujinga mtupu.
 
Acha uongo wa kitoto
 
Yes hiyo ni kwaajili ya hamasa tu, ikizimwa camera wanagonga cheers. Ila siku ya tukio ni real war, ndo nachoupendeaga huu mchezo, sio kama WWE maigizo mwanzo mwisho[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…