Pitia post za juu tumeeleza kilakituWazeee kwa hukuu daisalma itakuaa mudaa gani ? Ni usiku huu au uleee wa kucheaaa jumapiri?
Don't make a promise you can't fulfill...
Huyo black ukimcheki ni kama anafanana na nipsey husle
Lakini sijajua kwanini malengends wengi hawajambetiaAnagonga ngumi za KINEWYORK HATARI HUYO , kina JOSHUA HAPO HAWAGUSI KABISA NDUGU...angalia video zake Youtube...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo anapigana Kama bondia wa Manzese, anaruhusu ngumi nyingi mno kumfikia, ndio maana wengi wanaamini Pambano likiamuliwa kwa Points Wilder anapigwa chini...Lakini sijajua kwanini malengends wengi hawajambetia
Sio mdau wa mchezo huu ila hili pambano siwezi ku miss
nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxers
SuperSport 5 , jumapili alfajiriChanel gani itarusha wakuu? Muda ?
Lakini sijajua kwanini malengends wengi hawajambetia
Sio mdau wa mchezo huu ila hili pambano siwezi ku miss
Mmoja kataja saa 1 asubuhi, mwingine saa 12:45 jioni. Tushike lipi? Hata kama kuna mapambano ya utangulizi, ndio ni kwa saa zote hizo?Huwezi pewa muda exactly, hayo ni makadilio tu. Maana kuna mapambano ya utangulizi, yanaweza kuchelewa kumalizika ama huwahi inategemea kama yatakuwa na KO za mapema ama wanamaliza round zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni asubuhi, sio jioniMmoja kataja saa 1 asubuhi, mwingine saa 12:45 jioni. Tushike lipi? Hata kama kuna mapambano ya utangulizi, ndio ni kwa saa zote hizo?
Saa nane kwetu si itakuwa mchana hii