Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Dogo nilijua atakaa mapema ila kapo very strong...Kifunda kaaibika zaidi ya kiduku
Huyo dogo nipewe Mimi 😊😊 in JPM voice namkalisha round ya Kwanzaa😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo nilijua atakaa mapema ila kapo very strong...Kifunda kaaibika zaidi ya kiduku
Labda mwakinyohuyu dogo msauzi hawa boxers wa tz hawamuwezi
Kwani kupigwa ni sifa!?Kupigwa Kuna aibu?
Ana balaaDogo nilijua atakaa mapema ila kapo very strong...
Huyo dogo nipewe Mimi [emoji4][emoji4] in JPM voice namkalisha round ya Kwanzaa[emoji23][emoji23][emoji23]
True,huyu dogo msauzi hawa boxers wa tz hawamuwezi
Huyo ndo garasa kabisa, na hawezi kukubali maana huwa anachagua boxers wa kupigana nao.Labda mwakinyo
Huyo mwakinyo anamuogopa twaha atauweza huu mzikiLabda mwakinyo
Kwel,Alafu wasimulizi hawako kiufundi wapo kiushabiki
Tukimpeleka Mwakinyo au Ismail galiatano wa JWTZ?huyu dogo msauzi hawa boxers wa tz hawamuwezi dogo ana ngumi za kudonoa kama lennox lewis
Labda Twaha anaweza kutoa ushindaniTukimpeleka Mwakinyo au Ismail galiatano wa JWTZ?