johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Kumpata asiyetokea CCM siyo rahisi labda Zitto Kabwe au JJ Mnyika!yaani huyo jamaa sio presidential outfit kabisa, atafutwe mtu aliyekuzwa upinzani hata kama ni kuunga mkono chama kingine lakini sio nyalandu aliyetokea ccm. yatarudiwa yale ya 2015 ndo mtachoka zaidi
Hahahaa huyu Nyalandu I wakati waziri wa maliasili na utalii alikuwa muda mwingi anaishi na mabeberu huko USA baada ya kunogewa akaja Tanzania akadai mabeberu yanataka yeye Nyalandu ndo awe rais wa JMT. Hakuna aliyemsikiliza kwa hasira akatimkia kwa marafiki wa mabeberu wake chadema. Nyalandu na Lissu wanapenda mabeberu na wanaishi nayo.Hawawezi kuparuana kwa sababu Lissu anakaa kwenye jumba la Nyarandu na isitoshe keisha mtafutia 'BEBERU' la kumliwaza!
Membe ana akili timamu wewe!!Mgombea wa Urais CHADEMA ni jasusi la CCM Bernard Membe. Mark my words
Ila wanaonjeshana!Lakini hawapeani sumu kwenye vikao
Kumbuka ARV zako na zangu tunapata toka kwa mabeberu USA! Sema kidogo uleke, usijisahau!Nyalandu na Lissu wanapenda mabeberu na wanaishi nayo.
Mwingine watamtoa wapi? List ndio imeisha ukumbuke Mbowe aliwahi kugombea kura alizopata Hana hamu tena akaona size yake ni ubunge. Acha walete boya jingine wapate kura za familia zao.Duuh . . . he is not a presidential material at all. Hana kabisa hiyo karma. CHADEMA watafute mwingine sio huyu kama kweli wanataka kushindana
Unafikiri amesahau alivyoangukia pua alipogombea urais wa JMT? Kwa Sasa ubunge wenyewe akipata atashangaa.Mwamba si apande mwenyewe?mbona mkuu akitoaga hotuba na yeye anatoa ya kwake...aende kwenye mbio sasa na yeye
Hii ndio demokrasia. Msome Sungura jinsi mlivyo na Uhuru Hadi Mdee na Bulaya wanajulikana.Huenda naye akawepo, chama kitaamua.uzuri Wa chadema Ni demokrasia sio ccm.
Hela ya kulipia hivyo vipindi vya luninga ndio mtihani bwashee!Chadema pindi watakapopata mgombea wa urais waandae vipindi vya runinga(mbali na mikutano ya kampeni) wascript maswali yatakayomkuza mgombea wao ili aonyeshe uwezo wa kujibu na kuzungumzia mambo mapana ya kitaifa na kimataifa.....
Ajinadi kupitia platform hii.
Labda Lissu, maana pia kutengeneza presidential nominees sio mchezo na ni kazi ambayo CHADEMA hawakuifanya kwa miaka minne iliyopita na sasa inawagharimuMwingine watamtoa wapi? List ndo imeisha ukumbuke Mbowe aliwahi kugombea kura alizopata Hana hamu tena akaona size yake ni ubunge. Acha walete boya jingine wapate kura za familia zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela ya kulipia hivyo vipindi vya luninga ndio mtihani bwashee!
Wapiga kura wengi ni watazamaji wa luninga za kawaida!Si wana platform zao za online TV ... wanaeza kuwa na program fupi fupi ( wabongo huwa wanalinda MB zao) waeleze walichokifanya(bila kutoa sababu/visingizio) ... walipofikia ... na kama wakipewa nafasi watafikisha wapi ... waeleze kwanini wapewe uongozi... kwe tv wanafanya mara chache kwa ule muda muhimu tu.
Sasa mtampa nani mwenye uwezo wa kufanya kampeni Tanzania nzima?!Kwa kilichotokea 2015 sioni kama ni sahihi kumpa Nyalandu nafasi ya kugombea urais.
Hahahaa huyu Nyalandu I wakati waziri wa maliasili na utalii alikuwa muda mwingi anaishi na mabeberu huko USA baada ya kunogewa akaja Tanzania akadai mabeberu yanataka yeye Nyalandu ndo awe rais wa JMT. Hakuna aliyemsikiliza kwa hasira akatimkia kwa marafiki wa mabeberu wake chadema. Nyalandu na Lissu wanapenda mabeberu na wanaishi nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtampa nani mwenye uwezo wa kufanya kampeni Tanzania nzima?!
Lisu atakumbana na mapingamizi mengi ni heri mkamuunga mkono Zitto Kabwe!Lissu ndio game changer, hakuna mgombea yoyote anayeingia kwenye kila nyumba ya mpiga kura nchi hii.