storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Wapiga kura wengi ni watazamaji wa luninga za kawaida!
Tena ni wale wamepandwa sana na mabeberu hadi kuzalishwaUkiona mtu anatumia neno beberu karne hii ujue ni mzee, na kama ni kijana ni wale wenye mitazamo ya kizee.
Nasikia mtaa wa saba ni marufuku kuchukua form.. wala nia.Mchakato wa kutia nia, kuchukua na kurejesha fomu za kuwania urais kupitia Chadema, ndio unaimaliza chadema. Chadema sasa ndio inakufa rasmi.
Kimalengo ya baadae wamuav=che Nyalandu agombee kwa sasa,kwa sababu.
Wanatakiwa wamuandae mgombea mwingine ambae atakuja kupambana kwa nguvu nyingi katika uchaguzi wa mwaka 2025,ila kwa sasa bado nguvu itakua ndogo sana
Miaka hii mitano watatkiwa kupika vijana sana katika masuala ya kisiasa ikiwezekana kuwapa elimu kubwa ya namna gani uongozi ulivyo pamoja na kuwafunza vijana katika masuala ya kiteknolojia.
Miaka hii mitano watatikiwa kutazama ni wapi wamekosea na wapi waanzie na wapi waje kumalizia.
Harudi tena huyo, ndio tatizo la vijiwe sourceNitajie mwanasiasa mmoja tu mwenye historia nzuri!
Aisee....[emoji115][emoji115]Acha ushamba,,kutia Nia Ni kugeuka?,tatizo la wabongo nafasi za uongozi wanazigeuza za kuganga njaa,,
Chadema hatugangi njaa,kila mtu Yuko huru kutia Nia na demojrasi itaamua.
Hata akipiga chafya CHADEMAJo ukilala CHADEMA
Ukiamka CHADEMA
Ukipumua CHADEMA
Ukila CHADEMA
Mawazo yako yote 95% ni CHADEMA... Jitahidi uwe na KIASI.. Unaweza kuja kupata maradhi mabaya yatakayoitwa CHADEMAPHOBIA...
Ukiendelea hivi unaweza kuja kuwa kama Prince Bangeda alivyokuwa anamuandama Lyatonga...
Jr[emoji769]
Msigwa naye keshatia nia bwashee!Nasikia mtaa wa saba ni marufuku kuchukua form.. wala nia.
Hilo swali lumumba umeshauliza? Umejibiwa vipi?CCM b atagombea Tena,hivi wale wafia Chama hawanaga sifa???