Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........
Tunataka mechi halali zisizo na hila!
 
Hii habari tulishaipenyeza CAF na mrejesho ulikuwa mzuri tu. Tusubiri wakati ukifika watakuja na maelekezo yaliyoonyoka hasa kwenye mashindano yao.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Haya anzisheni huko tuitikie "unaifungaje eeeee!"
 
Hahaha! Daah!! Kumbe sikuwa mwenyewe kwenye hayo mawazo.

Kipindi cha pili kilipoanza nilihisi kitu kama hicho.

Kaazi kweli kweli.
 
Ila kule kuna jina moja tu ni funika bovu.
 
Hahaha! Daah!! Kumbe sikuwa mwenyewe kwenye hayo mawazo.

Kipindi cha pili kilipoanza nilihisi kitu kama hicho.

Kaazi kweli kweli.
Ni kweli jamaa wana energy lakini Goli kipa huwa anaipandisha timu mbele pia ni jambo jema
 
Mzeoa vya kunyonga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…