Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

Tuliyasema mapema haya na kweli yametokea!
Huu upuuzi mnaoleta ipo siku mtaujutia...
Siku Simba ikicheza na timu yyt ya nje lazima na sisi tukakomenti kua mnatumia dawa za kuongeza nguvu na pia manpuliza sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo n swala la muda tu.
 
Haituhusu!
 
IMG-20241108-WA0000.jpg
 
Huu upuuzi mnaoleta ipo siku mtaujutia...
Siku Simba ikicheza na timu yyt ya nje lazima na sisi tukakomenti kua mnatumia dawa za kuongeza nguvu na pia manpuliza sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo n swala la muda tu.
Kwani hamjawahi kusema au ushabiki imeanza juzijuzi
 
Back
Top Bottom