Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Huu upuuzi mnaoleta ipo siku mtaujutia...Tuliyasema mapema haya na kweli yametokea!
Siku Simba ikicheza na timu yyt ya nje lazima na sisi tukakomenti kua mnatumia dawa za kuongeza nguvu na pia manpuliza sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo n swala la muda tu.