Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

Ila kule kuna jina moja tu ni funika bovu.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Mzeoa vya kunyonga!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Nikuandikie jina moja tu ambalo ni orijinale?
 
Nikuandikie jina moja tu ambalo ni orijinale?
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Attention seeker
 
Tukiwaambiaga kuwa mnayo safari ndefu kuikuta yanga kiubora uwa mnabisha na sasa mnakiri kishingo upande kuwasilisha hoja kwa stahili ya pekee kabisa kwamba wanatumia dawa za kuongeza nguvu, utaki kukiri ubora wao na kocha wao wa viungo na fitness!
Mchezo wa jana umeonyesha fitness ya yanga ilivyo timamu kacheza mechi ngumu tatu mfululizo bila kupumzika na bado mchezaji wao katolewa kwa kadi nyekundu lakini Azam ndio waliokuwa kama vile wako pungufu iyo ndio yanga Africa Iko Bora maeneo yote!
Izo habari za madawa nafikiri ni taahira pekee anaweza kukubaliana na wewe kwa kuwa yanga kafika robo fainali klabu bingwa michuano ya caf na shirikisho fainali kwa ubora wake Ina maana wao caf unawazidi akili wewe awakujua kuwapima wachezaji madawa? Msiwe mnafanya watu wawaone amnazo na kumfanya mangungu aonekane anawaongoza wanachama ambao ni empty brain!
 
Nimeanza kukuamini ulisema kuhusu Rafu za Yanga zinavyofumbiwa macho na Marefa bahasha. Tumeona kweli Jana yametokea. Na hili IPO siku''Ikeshayo haidumu'
 
Ila hao wachezaji wa timu fulani wana mazoezi ya misuri kwa kutumia maji pia wanatumia maji ya kunywa sana
 
Kweli hata mm Jana nimepata mashaka kama huyu Nzengeli hata dk mia mbili anaweza kucheza!
 
Mna jina lenu linawakaa sana utadhani kadereva kazee na lori lake bovu.
 
Hiyo si ajabu labda uwe umezaliwa jana yanga waliwahi pelekewa moto na Rayon sport mpaka walivyofika mapumziko wakasema lazima rayon wapimwe mkojo nyingine walipelekewa moto na mecco ya mbeya wakaleta malalamiko hayo hayo sasa tunapokumbusha si ubora ni kutaka kupata ukweli!
 
Nimeanza kukuamini ulisema kuhusu Rafu za Yanga zinavyofumbiwa macho na Marefa bahasha. Tumeona kweli Jana yametokea. Na hili IPO siku''Ikeshayo haidumu'
Yajayo yanafurahisha..........
 
Basi ukweli ndio huo ni kuwa na kocha Bora wa fitness na mwalimu Bora wa viungo, iyo ndio tafsiri halisi ya uwekezaji na sio blah blah, ni vizuri kujifunza kizuri kutoka kwa mwenzako ili na wewe uwe Bora na sio kuonyesha wivu na kutafuta njia mbovu za kutaka kushusha uwezi KUFANIKIWA!
 
Vipimo lazima vihusike!
 
Tuliyasema mapema haya na kweli yametokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…