Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Putin hawezi kukamatwa kwenye Nchi dhaifu kama Mongolia,Malawi na majirani zake huyo mtu atue kwa hao jamaa waliotengeneza hiyo sheria anaenda pana yule Rais mmoja alikamatwa akiwa na miaka zaidi ya 80 kwa makosa haya haya ya kivita hao Mabeberu wakishakupa hiyo kesi sio leo ila utakamatwa tu labda ufe..
 
ICC ni kwa wale nchi za Magharibi isiopenda tu kijana, hasa viongozi wa Africa.Kwanza mjanja hajiungi na ICC. Ingekuwa ICC ni mahakama ya kiukweli Marekani ingekuwa signatory na Putin analijua hili.Afterall Putin has done nothing wrong,ni "uzushi" tu wa nchi za Magharibi.Na Marekani sio signatory because she knows it is a sham.

Nchi za Magharibi hasa US zina commit atrocities nyingi sana worldwide,but have never been held accountable.It is estimated that the US has killed >20 million people in its many wars worldwide. The US generally kills with impunity.The ICC ni kwa ajili ya wadanganyika kijana.
 
Hata wakisema wamkamate, hakuna anga watapitia ili kumtoa Mongolia.
Mongolia imepakana na Russia kwa upande mmoja na upande mwingine China.
Na hawata weza hata kumfungia humo humo maana kitakacho wapata hakina mfano wake, nimewaza sana nikakosa jibu.
 
Wamuarike tu na uhakika ataenda kama atapenda.
Maana haipo dhiara ya rais ya kujiendea tu Nchi yoyote Ile lazima kuwe na mwaliko. Hivyo wakimualika hata hapo white house ataenda mchana kweupe
 
Hapa unatetea ubovu WA elimu yetu.Sisi wakati wetu by Std VI you know all countries of the World and their capital cities.Sio siri mkuu,mmepigwa na kitu kizito.Poleni sana.
Kwahiyo ukienda kwa mwanachuo wa Harvard ukamuuliza kama anaijua nchi inaitwa malawi akikujibu kuwa hajui inabidi tuitilie shaka elimu yake?
 
Kwahiyo ukienda kwa mwanachuo wa Harvard ukamuuliza kama anaijua nchi inaitwa malawi akikujibu kuwa hajui inabidi tuitilie shaka elimu yake?
Marekani pia elimu yao imesha chakachuliwa mkuu kama ulikuwa hujui.So to you Marekani ndio beacon?Pole if you think so.Uchakachuaji wa elimu is a worldwide phenomenon,na nguvu nyingi sana ya kifedha na the occult inatumika.
 
Marekani pia elimu yao imesha chakachuliwa.So to you Marekani ndio beacon,pole.
Nina mashaka na elimu yako kwasababu kwa point yako ni kwamba mtu inabidi ajue nchi zote duniani kwako ndicho kipimo cha usomi
 
sio historia , Zungumzia Mongolia ya sas , tukienda hivyo bas hata Egypt ni nchi kubwa
Yeah Egypt ni nchi kubwa.
Wewe Tanzania unaifikia Egypt kwa kipi??
Egypt ni baba wa Arab league.
Leo hii imperial power ikitaka kuwatuliza waarabu ni eidha wakaongee na Egypt au Qatar.
Tofauti na hapo hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…