Mkuu hawana pa kupita.Anga looote hilo utakosaje pa kupita?? Nani wa kuisimamisha ndege? Labda wailipue ila kuzuia ndege isipite kwenye anga fulan huwa ni story flan tu hazijakaa sawa sana
Hilo anga la Mongolia limezibwa na anga la China na Russia.
Ili wavuke kwenda nje na hiyo mipaka ni eidha wavuke anga la China ama la Russia.
Russia na China wakifunga anga zao Mongolia anapita wapi!??