Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Yeah Egypt ni nchi kubwa.
Wewe Tanzania unaifikia Egypt kwa kipi??
Egypt ni baba wa Arab league.
Leo hii imperial power ikitaka kuwatuliza waarabu ni eidha wakaongee na Egypt au Qatar.
Tofauti na hapo hakuna.
Kama Egypt ndio baba waarabu basi ndio maana myahudi anawapelekea moto.
 
Hilo siyo swala la ubabe wa Putini, bali hayo ni maamuzi ya Mongolia kuamua kutotii makubaliano hayo. uganda pia iliwahi kufanya hivyo pale ilipoamua kutomkamata aliyekuwa rais wa Sudan Omar Bashiri.
south Afrika walishindwa kumhakikishia Putin kwamba wameipuuza ile order ya kumkamata ndiyo maana Outin pamoja na huo ubabe wake, lakini hakuweza kwenda.
 
Putin hawezi kusogeza pua lake kwenye nchi zinazojielewa huo ndio ukweli.
Ataishia huko kwa madikteta wenzake
SaSa kama hivyo Kwa Nini wasimfuate hapo urusi wakamkamate?
 
Has done nothing wrong wakati amevamia Ukraine na kuuwa mamia kama sio ma elfu ya watu.
Kwa taarifa yako hiyo icc warranty haina expiration date, atakamatwa tu hata akiwa na miaka 100
Your minds are so crooked,you only know what the West says,hata kama ni uzushi.Go back and learn why Russia is carrying out a Special Operation in Ukraine.

Kwa ufupi ni kwamba the West has failed to provide Russia with security guarantees,so Russia had to act to guarantee its' own security.Amkeni,mnang'ang'ania Main Stream Media tu, mnalishwa matango pori!
 
Hapa unatetea ubovu wa elimu yetu mkuu.Sisi wakati wetu by Std VI you know all countries of the World and their capital cities.Sio siri mkuu,mmepigwa na kitu kizito sana,poleni.
Elimu yetu inaweza ikawa mbovu ila vtu vingine havihitaji hata elimu ni uvivu wangu tu mkuu.
 
Elimu yetu inaweza ikawa mbovu ila vtu vingine havihitaji hata elimu ni uvivu wangu tu mkuu.
Swala la kujua Mongolia ipo wapi ni Geography mkuu.Sasa katika mazingira ambayo hata Atlas hazitumiki tena katika Shule za Msingi,ni vigumu sana kujua Geography.Nasikia hata Mathematical Set hazitumiki tena Shule za Msingi siku hizi,ni ajabu sana.Yaani ni nadharia tu mtindo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…