Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Putin hata akienda USA hakamatwi ni kama vile hata Biden akienda Urusi kwa warranty ya ICC hakamatwi.
Hayo ni maogizo TU.
 
Putin bana labda akanyage White house ndio watamkamata.
Ila sio mataifa mengine yeyote.
Maana kawaida ya wasoviet huwa hawaachi kiongozi wao kifungoni.
Tena hapo USA ndio hawamgusi kabisa.
Kwa kifupi kumkamata Rais wa Urusi ama wa USA ni kutangaza vita.
 
Hakuna kima wa kumkamata
 
Aende New York kwenye vikao vya UN
 
Putin bana labda akanyage White house ndio watamkamata.
Ila sio mataifa mengine yeyote.
Maana kawaida ya wasoviet huwa hawaachi kiongozi wao kifungoni.
US walishasema mapema akienda kwao hawatamkamata maana wao sio signatory wa ICC,,
 
Mongolia bado anaitegemea mno nishati hasa mafuta kutoka Urusi, huwezi kuukata mkono unaokulisha.
 
K
Kama hakuna, basi atembelee Ujerumani au Japan.
wamemwalika?
au aende tu bila mwaliko?
hivi nyie madogo mnajua hata abc's za diplomasia kweli?
mnajua kwamba ukimwalika kiongozi A, the moment anatua kwako usalama wake unakua mikononi mwako?

nakupa mfano mdogo,
unajua kwanini waasi waliwaua maraisi wa burundi&rwanda mara tu ndege zao zilipoacha anga la tanzania?

unajua kwanini baada ya kurunzinza kupinduliwa akiwa airport hapo dar ilikua lazima tanzania imrejeshe burundi tena ikulu akiwa salama?

nyie madogo mnaropoka sana wakati vichwa ni empty
 
Wewe ni Pro russia mzee Mathanzua
Mimi sina swala la pro au against,nina angalia reality.The West wakifanya vizuri I will be for them,wakifanya vibaya,as they are doing,I will be against them,mbona sili kwao.
 
Nani madogo?

Ukiwa unanijibu mimi uwe na adabu, Mwanahizaya!
 
Aisee sikulijua hili
Elimu haina mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…