Pamoja na Dodoma kuwa Katikati ya nchi lakini bado haikupaswa kuwa Makao Makuu

Hakika akili zake ziko takoni watu wamekuwa matajiri hapa ndani ya miaka miwili tu ddm Ni POA snaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naona unajiita Dr Namugari. Nikushauri tu uitoe hiyo Dr , hakuna mwenye title kama hiyo awe tabularasa kiasi hicho. Au unamaanisha Dr wale wanaoweka vitambaa vyekundu na pembe za wanyama
 
Dar je ikoje ??! Jasho jasho kwa kwenda mbele !! Na ile harufu iliyomshinda Michael Jackson alipotembelea Dar bado ipo au imeisha ?! πŸ˜‚
Hali ya hewa ya dar inakufanya mwili upumue , ni kweli kuna joto lakini UNATAKAKA NA KUNAWIRI, Jua halifinyishi macho(haliumizi macho). Halafu kila mtu dar anaonekana ANATABASAMU LA USONI. Ila Dodoma sasa, yaani unaweza kufikiria kila mtu amekasirika au amechoka kumbe ni sababu ya hali ya hewa. Mimi labda mambo ya ajira ndio yaniweke Dom, zaidi ya hapo hapana kwa kweli.
 
Kama kweli serikali itaweka dhamiri ya dhati kuhusu kuibadilisha Dodoma,inawezekana ikawa ni mji mzuri sana,na wenye miti kila kona,tatizo naona ni wana siasa wa maigizo ndio wanaokwamisha.Mvua Dodoma inanyesha kwa mwaka karibu miezi 4,sasa kama kutakuwa na kampeni kama zile za kutokomeza mifuko ya plastic ikawezekana, hata ya kupandwa miti kwa lazima inawezekana,kuna mahali ni lazima ubabe utumike,msimu wa mvua unapoanza tu miti inapandwa,ikifika miezi 4 imeshashika na inaendelea kukua,kuna aina ya miti ikishashika hata kama mvua itakaa miezi 6 haidondoshi majani na inakuwa kijani kibichi,hii miti inaitwa Midodoma,inastahimili ukame na ina kivuli kikubwa...
 
Aliyekuambia makao makuu ya nchi lazima watu wanawiri uso ni nani?? Umbwa kweli wee umesikia saloon ya watoto wa kike hii...
 
Yote kwa yote nadhani ni hali yako ndiyo mbaya na kukosa network ya pesa hapo dodoma ndiyo sababu ya kuiona hivyo ilivyo, but kuna jamaa zangu waliondoka Dar na wapo dodoma now wanaenjoy kuliko Dar na wana vitu ulivyoviorodhesha kwa ubaya hapo juu.

Mfano wewe uliona mkoa gani unafaa kuwa makao makuu?
 
Kichekesho zaidi ni vile vijumba vya chamwino hapo kuingilia ikulu. Yaaani ukienda nchi nyingine mitaa ya karibu na ikulu ni majengo mazuri tu na mazingira mazuri ila hapo Dodoma kuna vijumba vya hovyo balaa karibu na ikulu kabisa.
Ndio hali halisi ya watanzania.. wewe ulitakaje??
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ni kweli Dom inafubaza na kuchakaza sura of course ngozi yote ya mwili lazima ichakae na kupoteza nuru sababu zipo kadhaa, hali ya hewa lile joto kavu yaani hakuna humidity, joto/jua linachoma hata mtoto anakuwa na sura ya kizee. Kukiwa na kabaridi pia ni kale kakavu kanakosababisha mtu awe na ngozi kama ya kenge hata akitumia lotion ya viwango best duniani inadunda lakini ndiyo kumeshakuwa makao makuu.
Vimbi lake utadhani ni sumu ya kuchakaza ngozi lakini ndiyo pameshakuwa makao makuu ya nchi, dah..! Hivi Mchonga alikuwa hastui kijiti?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Peleka huko utopolo wako. Hujalazimishwa kiishi Dodoma. Kaishi huko kwenu Nanjilinji tuachie Dodoma yetu tuendelee kushine. Inaonekana una upungufu wa fedha mwilini ndio maana unapayuka hovyo.
 
Peleka huko utopolo wako. Hujalazimishwa kiishi Dodoma. Kaishi huko kwenu Nanjilinji tuachie Dodoma yetu tuendelee kushine. Inaonekana una upungufu wa fedha mwilini ndio maana unapayuka hovyo.
What are you smoking? Wapi nimeandika kwamba natarajia kuhamia Dodoma au natokea Nanjilinji(whatever that shit is).
Experience yangu ya Dodoma ni wakati niko National Service Makutupora kwa mujibu wa sheria back then(though siku hizi ni hiyari) na huo ni ukweli 100% kuhusu hiyo Idodomya. Miti(shrubs) inayoota vizuri ardhi yenu huko ni Mitunduru otherwise that area ni semi arid na hali yake ya hewa ni sawa na kuishi Kalahari iliyojaa vumbi.
 
Sijui kwa nini hawakuiona Singida
Unaruka mavi unakanyaga mkojo, singida na dodoma hakuna tofauti hata kidogo kote huko nimeishi.....manyoni, singida mjini, ilongero, shelui, itigi, ikungi, itaja na sagara, ni sawa na dodoma sehemu kama mpunguzi, bahi, chamwino, mvumi na dom town yaani ngoma droo jua lote 😁
 
Kwa nini ulienda huko?Mji mkuu wako upo moyoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…