Kwa location ya mji mkuu singida ingekuwa the best. Mji umepambwa na maji. Temperature haizidi 27°c annually. Connectivity na miji mingine Iko vizuri. Ukisogea ilongero unakutana na ziwa kisisi,ukitaka kwenda hospital ya hydom, au st Gaspar ni chap tu, nenda puma ardhi yenye kutoa nyanya, miwa na matunda mbalimbali. Ee bwana singida inazalisha mpunga, alizeti,asali na vitunguu. Singida Kuna kuku wakienyeji. Madini yapo yakutosha bwana,mgodi mkubwa wa shata gold mine, mpambaa, msigiri nk. Hata hiyo Dodoma inategemea Kila kitu toka singida.piq singida ni katikati ya Nchi, hata hiyo alama ya katikati ya Nchi Iko sgd ( sukamahela). Kiujumla singida ndiyo ingefaa zaidi kuwa makao makuu.kama maji kutoka ziwa Victoria yangefika igunga, tayari Kuna bonde la wembere linalotoa mpunga. Kilimo Cha umwagiliaji kingefana. Mji ungepunguza gharama za maisha. Ndiyo maana singida wanaishi wazungu wa singida big stars. Yaani wakichoka wanaenda Arusha. Siyo majoto joto Kila mahali.