Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ccm hawategemei matokeo ya kura Ili kushindaHili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk!
Wananchi wamemchoka na hawamtaki!