Pamoja na Kamala Harris kutumia wasanii wakubwa wote wa Marekani bado ameangukia pua!

Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk!

Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
Huwezi shondana na Mungu
 
Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk!

Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
Mtu aliye elimika hawezi mfuatisha msanii.
Wasanii huwateka wasioelimika/illiterate.
 
Inashangaza sana msiompenda Mama Samia mnavyoongelea kushindwa kwa Kamala kama funzo kwa CCM. Siasa za US sio siasa za TZ. Na sio lazima tufuate wanachofanya. Mama Samia ni rais hadi 2030. Tuombe tu uzima.
 
By unfairness means perhaps...
 
Back
Top Bottom