Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .

Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu

Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .

Hali ndio kama mnavyoona

 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
m
 
Palipo na Mungu nia mbovu hutoweka,hongera sana viongozi wa CHADEMA kwa uvumilivu wenu na moyo wa upendo kwa wahanga wa mafuriko na wananchi wote kwa ujumla.
 
Jambo la kibinadamu kama hili linafaa kuungwa mkono.

Serikali ya kihuni inadhani kila jambo ni la kisiasa
 
Hivyo ndivyo ilivyopaswa iwe.
Tumechoka na malalamiko ya kunyimwa haki.
Haki haiombwi hata siku moja bali inapiganiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbarikiwe lakini moyo wa kweli hakuna mnasubiri matukio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…