Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

CCm imechoka lakini wananchi nao hawaamini watu wasio na msimamo!
Narudia tena, ingekuwa kura zinatangazwa kama zilivyo kwenye box la kura, ndio ungejua ccm sio chama Cha kizazi hiki. Hiyo kuwalisha wananchi maneno ilitakiwa muache box la kura liseme watakacho wananchi, sio nyie wenye uchu wa madaraka ndio muwaamulie wananchi mnachokitaka.
 
Box la kura linaamua kila uchaguzi ila dhana uliyojijengea tayari ni kura kuibwa khenan kule nkasi kashinda kwa box gani?
 
Narudia tena, watu wajinga tu ndio unaweza kuwaambia kuwa box la kura ndio linalotoa viongozi ndani ya nchi hii. Huyo Kenan kushinda sio dalili ya heshima kwenye box la kura, Bali huyo ameachwa Ili kuhalalisha uhayawani mwingine wote uliofanyika. Siku heshima ya box la kura itarejea, hukutakuwa na uwezo wa ccm kupata zaidi ya 50%.
 
Mleta mada unataka kutwambia waliolazwa hapo hosptal wanazuga tu ili kupata pa kujipumzidha...Yaani Afike Mbowe mlevi yule na lemma mvuta bangi vile watu wapone kwa uponyaji gani?
 
Narudia tena, watu wajinga tu ndio unaweza kuwaambia kuwa box la kura ndio linalotoa viongozi ndani ya nchi hii. Huyo Kenan kushinda sio dalili ya heshima kwenye box la kura, Bali huyo ameachwa Ili kuhalalisha uhayawani mwingine wote uliofanyika. Siku heshima ya box la kura itarejea, hukutakuwa na uwezo wa ccm kupata zaidi ya 50%.
Sasa unafikiri ni mwaka gani tutaishuhudia hiyo fifty percent!
 
Back
Top Bottom