Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani

Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani

Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda

Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi

Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?

Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi

HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?

MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
Na nyinyi acheni upimbi. Kwani huyo Rais ni mungu? Mbona na nyinyi mlienda naye na kufanya mpaka mkutano wa hadhara? Mngemuacha aende peke yake basi kama ni special kuliko binadamu wengine.
 
Kwa hivyo kukagua athari ni kupita city centre.

Tumeshaelezwa huko mashamba yameharibika, mifugo imekufa, na maji machafu yalijaa mji mzima kwa mafuriko yale na vyoo vyetu; lazima maji ya mafuriko yalikuwa na mchanganyiko wa kila kitu na yamekaa siku kadhaa maeneo mengine (risk of waterborne diseases).

Wananchi wanahitaji wataalamu wa kwenda kufanya aftermath risk assessment ya kuangalia wasaidiwe vipi; hapo kuna risk za ‘waterborne disease’ wizara imejipanga vipi, uharibifu wa njia huko nje ya mjini, athari zake, vegetation concerns ‘kiasi gani cha ardhi kinaweza kuwa kimeathirika kwa kilimo cha msimu ujao, vipi food security; njia za mito zipo kwenye hali gani mvua kubwa ikinyesha; you can go on and on kwa mambo muhimu ambayo serikali inatakiwa kuyafikiria.

Halafu CDM wanalilia kwenda kupiga picha na wagonjwa na kudhurura mtaani waonekane; as if huko ndio kutasaidia kumaliza shida za watu.

Wote nCDM na CCM kila kitu wao wanawaza cheap politics wakati wananchi huko wanahitaji serious help, hata hiyo kambi ya makazi ya wahanga hatuoni na kuna watu wamepoteza nyumba.
 
Ninawapongeza ila kuhusu mwongozo bakini nao tu unless ni mwongozo kwa wafuasi wenu.
 
Kwa hivyo kukagua athari ni kupita city centre.

Tumeshaelezwa huko mashamba yameharibika, mifugo imekufa, na maji machafu yalijaa mji mzima kwa mafuriko yale lazima na vyoo vyetu; maji mafuriko yalikuwa na mchanganyiko wa kila kitu na yamekaa siku kadhaa maeneo mengine.

Wananchi wanahitaji wataalamu wa kwenda kufanya aftermath impact assessment ya kuangalia wasaidiwe vipi; hapo kuna risk za ‘waterborne disease’ wizara imejipanga vipi, uharibifu wa njia huko nje ya mjini, athari zake, vegetation concerns ‘kiasi gani cha ardhi kinaweza kuwa kimeathirika kwa kilimo cha msimu ujao, vipi food security; you can go on and on kwa mambo muhimu ambayo serikali inatakiwa kuyafikiria.

Halafu CDM wanalilia kwenda kupiga picha na wagonjwa na kudhurura mtaani waonekane; as if huko ndio kutasaidia kumaliza shida za watu.

Wote na CDM na CCM kila watu wao siasa wakati wananchi huko wanahitaji serious help, hata hiyo kambi ya makazi ya wahanga hatuoni na kuna watu wamepoteza nyumba.
Creche....
 
Naona mke mwenzako Erythrocyte anagonga like Kwenye comment zinazomuunga mkono tuu lkn zile comment za kuambiwa ukweli anaziona kama konyagi ile ambayo ilimvunja mguu mume wenu Mbowe mpaka mkawa mnakosa huduma ya ndoa [emoji23]

SAGAI GALGANO pamoja na ndugu yangu wa damu kabisa Erythrocyte najua mnaelewa sana nachoongea ila tatizo ni upande ambao tayari mmeamua kuishi napo mnajua kabisa ni pabovu ila mtafanyaje sasa na ndoa ni ya kikristo na hakuna kuachana.

Nawakumbusha tuu, hakuna chama chcht cha siasa sio CCM sio CHADEMA sio TLP wala sio chama chcht kile kitakachowaletea maendeleo, kila mtu anaangalia tumbo lake na ndugu zake.

NB: Kama nyie mpo kwenye system ya ulaji wa chadema bc hongereni maana kazi ya kuwatetea mnaifanya kwa juhudi kubwa mno.
Hayo unayasema wewe kwani nani umeona analilia kuletewa chakula mezani? Wewe una chuki na Chadema tu huna kingine unachojua ndiyo maana nakuona boflo tu.
 
Division 0 ya Form 6 ikiwa kazini, haya ndio matokeo yake, watu wamepata maafa makubwa, badala ya kutoa msaada walau hata kidogo, unaenda kutafuta political mileage na mipicha, magwanda kwenye misiba, ukikosa elimu bora au ukifeli shule hadi div 0 madhara yake makubwa sana kwa wafuasi wanao kufuata bila hata kujua unaenda wapi

NB: Kuwa na fedha haiondoi wewe kuwa ulifeli elimu na kupata div 0: Div 0 iko pale pale na madhara yake ndio haya hadi wafuasi wa div 0 kokote kule iwe mitaani au mitandaoni ni hopeless sana tunaona.
Mama unawivu
 
Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .

Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon

Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .

View attachment 2836039View attachment 2836040View attachment 2836041View attachment 2836043View attachment 2836044View attachment 2836046View attachment 2836049View attachment 2836052View attachment 2836053
Nakuheshimu sana mkuu, Naunga mkono mageuzi, ila unaripoti kishabiki sana kiongozi.

Sasa hao wananchi ambao wamepata matatizo walikua wanawashangilia vipi watu waliokuja mikono mitupu ati kukagua uharibifu?? Mbona nashindwa kuelewa??
 
Back
Top Bottom