Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Taja msaada mliotoaJoined 2022 august
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja msaada mliotoaJoined 2022 august
Na nyinyi acheni upimbi. Kwani huyo Rais ni mungu? Mbona na nyinyi mlienda naye na kufanya mpaka mkutano wa hadhara? Mngemuacha aende peke yake basi kama ni special kuliko binadamu wengine.Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani
Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani
Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda
Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi
Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?
Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi
HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?
MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
CCM wamenuna haswaBasi hapo ukute CCM wanateseka..
🤣🤣🤣
Ni mambo ya ajabu sn kuzuia watu kuwaona wagonjwaMungu aendelee kuwasimamia Hawa waheshimiwa... Kufika kwao tu imekuwa faraja Manyara yote.
Chadema haikusanyi kodiMzee, em tajeni misaada iliyotolewa na chadema. Mbona mnazunguka tuu kama waliopotea
Lile Lina roho ya kiuwaji sawa na bashiteIngekuwa amri ya yule Lucas Mwashambwa, waheshimiwa Mbowe na timu nzima ya CDM wasingekanyaga Katesh
Tuliza mshono.Ni jambo muhimu la kitaifa kuhudhuria, Majaliwa aliwahi kuwajulia hali maana mama bado alikuwa safarini ,mbona hamkwenda siku ile majaliwa yupo? Mnasubiri Rais aende na nye mchomeke agenda zenu,siasa za kitoto hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema hàwa ni Kaole?Hakuna lolote hapa. Zaidi ya harakati za kudandia matukioView attachment 2836163
Aiseeh Mkuu poleni sana...nilikuwa hapo juzi tuMagoma hashauriki,jimbo hili ni very simple kwenda CHADEMA,sema mjuaji na pia anavizia uchaguzi ndio anaenda hanang'
Creche....Kwa hivyo kukagua athari ni kupita city centre.
Tumeshaelezwa huko mashamba yameharibika, mifugo imekufa, na maji machafu yalijaa mji mzima kwa mafuriko yale lazima na vyoo vyetu; maji mafuriko yalikuwa na mchanganyiko wa kila kitu na yamekaa siku kadhaa maeneo mengine.
Wananchi wanahitaji wataalamu wa kwenda kufanya aftermath impact assessment ya kuangalia wasaidiwe vipi; hapo kuna risk za ‘waterborne disease’ wizara imejipanga vipi, uharibifu wa njia huko nje ya mjini, athari zake, vegetation concerns ‘kiasi gani cha ardhi kinaweza kuwa kimeathirika kwa kilimo cha msimu ujao, vipi food security; you can go on and on kwa mambo muhimu ambayo serikali inatakiwa kuyafikiria.
Halafu CDM wanalilia kwenda kupiga picha na wagonjwa na kudhurura mtaani waonekane; as if huko ndio kutasaidia kumaliza shida za watu.
Wote na CDM na CCM kila watu wao siasa wakati wananchi huko wanahitaji serious help, hata hiyo kambi ya makazi ya wahanga hatuoni na kuna watu wamepoteza nyumba.
Hayo unayasema wewe kwani nani umeona analilia kuletewa chakula mezani? Wewe una chuki na Chadema tu huna kingine unachojua ndiyo maana nakuona boflo tu.Naona mke mwenzako Erythrocyte anagonga like Kwenye comment zinazomuunga mkono tuu lkn zile comment za kuambiwa ukweli anaziona kama konyagi ile ambayo ilimvunja mguu mume wenu Mbowe mpaka mkawa mnakosa huduma ya ndoa [emoji23]
SAGAI GALGANO pamoja na ndugu yangu wa damu kabisa Erythrocyte najua mnaelewa sana nachoongea ila tatizo ni upande ambao tayari mmeamua kuishi napo mnajua kabisa ni pabovu ila mtafanyaje sasa na ndoa ni ya kikristo na hakuna kuachana.
Nawakumbusha tuu, hakuna chama chcht cha siasa sio CCM sio CHADEMA sio TLP wala sio chama chcht kile kitakachowaletea maendeleo, kila mtu anaangalia tumbo lake na ndugu zake.
NB: Kama nyie mpo kwenye system ya ulaji wa chadema bc hongereni maana kazi ya kuwatetea mnaifanya kwa juhudi kubwa mno.
My post or politicians behaviour?Creche....
Mama unawivuDivision 0 ya Form 6 ikiwa kazini, haya ndio matokeo yake, watu wamepata maafa makubwa, badala ya kutoa msaada walau hata kidogo, unaenda kutafuta political mileage na mipicha, magwanda kwenye misiba, ukikosa elimu bora au ukifeli shule hadi div 0 madhara yake makubwa sana kwa wafuasi wanao kufuata bila hata kujua unaenda wapi
NB: Kuwa na fedha haiondoi wewe kuwa ulifeli elimu na kupata div 0: Div 0 iko pale pale na madhara yake ndio haya hadi wafuasi wa div 0 kokote kule iwe mitaani au mitandaoni ni hopeless sana tunaona.
Nakuheshimu sana mkuu, Naunga mkono mageuzi, ila unaripoti kishabiki sana kiongozi.Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .
Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon
Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .
View attachment 2836039View attachment 2836040View attachment 2836041View attachment 2836043View attachment 2836044View attachment 2836046View attachment 2836049View attachment 2836052View attachment 2836053
Unauliza majibu...My post or politicians behaviour?
Hahaha li nani?Lile Lina roho ya kiuwaji sawa na bashite
Chama pekee tegemeo la Wananchi kwa sasa na baadaeKamanda Magoma...
Mji umekuwa na furaha na machozi KUFUTIKA.....hiki chama kimo mioyoni sio Tumboni