M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Nov 11, 2023 #1 Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 11, 2023 #2 Katibu wa Itikadi ni Boss wao
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Nov 11, 2023 #3 johnthebaptist said: Katibu wa Itikadi ni Boss wao Click to expand... ufala
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 11, 2023 #4 Mtemi mpambalioto said: ufala Click to expand... Hilo ni Kabila la asili la Wapalestina Falah au Mafala
Mtemi mpambalioto said: ufala Click to expand... Hilo ni Kabila la asili la Wapalestina Falah au Mafala