Pamoja na kushusha bei wananipita wanaenda kwingine, najiuliza nakosea wapi?

Wiki bado biashara haijatulia komaa....kwaiyo Mwamba kila anayekuja anakishika shika kidari alafu hanunui.

Ila Huko mabarabarani tunakula Uchafu sana
 
Tupe Location tuje tukupe Support mkuu. Sisi kama sisi tukiamua tunaweza kukunyanyua hapo ulipo
 
Kwanza tafuta mganga mzuri hili ndo jambo la muhmu kuliko yote ,kumbuka pia hata wanasiasa wanaroga kwahyo bila kuloga TZ hufanikiwi ng'o wachawi wapo kila kona.
 
Acha haraka haraka ya mafanikio. Unaowaona wamefanikowa leo wakati wanapambana hukua unawajua. Taratibu wateja watazoea. Jichanganye sasa na miharaka yako utaishia kulaumu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…