utala utala TU
Senior Member
- Aug 13, 2024
- 187
- 275
Ebu tupe faida kidogo apo kwenye muonekano mkuu🙏Wiki moja tu unaanza kukata tamaa? Muonekano wako upoje? buni vikorombwezo vya aina tofauti tofauti kama vile pilipili ya kupika mwenyewe ili kuvutia wateja, lugha ya kuongea na mteja ina nafasi kubwa sana katika biashara
Biashara unayofanya uliichunguza vizuri? Unahitaji angalau mwaka ili uanze kuona return ya biashara unayofanya. Biashara nyingine hadi miaka mitatu.Tatizo msingi mzee unakata
Baadhi ya watu wanajali sana usafi na unadhifu wa mfanyaniashara, awe msafi kuanzia mwili hadi mavazi. Muonekano wa nywele ,kucha na kadhalika.Ebu tupe faida kidogo apo kwenye muonekano mkuu🙏
Shukran kiongoziBaadhi ya watu wanajali sana usafi na unadhifu wa mfanyaniashara, awe msafi kuanzia mwili hadi mavazi. Muonekano wa nywele ,kucha na kadhalika.
Sawa bichwa komwe nimekuelewaJifanye zuzu, kuwa mpole na mwenye ukarimu tele.
Watu wanapenda kunyenyekewa na kuabudiwa... waite majina kama BOSS, MKUU, MAMA, MZEE WANGU.... n.k
Usikaze uso sana. Jilegeze, jibebishe, jidogoshe.
Mimi watu huwa wananiona kama kakijana kapumbavu kasicho na ufahamu, maana najishusha haswa nakuwa kama zezeta ila NAPIGA HELA MBAYA.
Kuna faida gani ya kujikweza? Kiburi kitakupa ugali??
Kuwa zezeta kabisa, GO LOW, STAY STUPID AND FOOLISH... waache wawe juu yako kisaikolojia huku ukiendelea kupiga pesa.
Yangu ina miezi 3 sioni kitu nauza viatu vya wanawakeBiashara unayofanya uliichunguza vizuri? Unahitaji angalau mwaka ili uanze kuona return ya biashara unayofanya. Biashara nyingine hadi miaka mitatu.
DahTafuta mganga
TUBU OMBA REHEMA KWA MUNGUWakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi
BAs hutofanikiwa kamwe na utafiliska, endlea na ulokole kwenye ulmwengu wa ushrkinaMimi siumwi bro