Hujawahi kumpenda kweli Lissu. We ni pandikizi tu wa CCM ambaye una hofu na Lissu kwa sababu kwa nyakati zilivyo ni hatari sana Lissu kuongoza Mapambano dhidi ya CCM.
Lisu ni tunu kubwa sana kwa Tanzania . Tusupochukua hatua sasa ya kumfanya awe kiongozi wa kutuwekea siasa nzuri za kiungwana. Za kushindana kwa hoja na kwa maneno ya mdomo na kufuata sheria bila kudhuru wengine.
Mbowe ni wa hovyo sana na genge lake la wauaji. Yaani mbowe anatumiwa na CCM eti kuilinda Chadema kweli!!! Yaani CCM yenye watawalapaka ngazi ya kijiji waliofuata wala kuheshimu Sheria !!
Yaani Mbowe anaona yeye tu kupata fursa ya kukaa meza moja na Mwenyekiti wa CCM ni jambo la furaha kwake kuliko kupigania haki za watu na utawala unaofuata sheria na katiba . ?
Maridhiano ya nini kwa wavunja sheria na katiba . Unaridhiana nini wakati sheria zipo ! Hii nchi tayari ni ya mfumo wa vyama vingi kisheria na hakuna ugomvi kati ya CCM na Chadema zaidi ya genge la wahuni wasiojulikana na anaowajua mbowe . Hata hivyo maridhiano gani ambayo hayakulenga kwenye uchaguzi. Hivi mikutano ya hadhara ya kila siku ina umuhimu gani kama watu wanabadili na kuvuruga kura za wananchi na kuitangaza CCM .
Yaani badala ya kuridhiana kuhusu uchaguzi Mbowe anasifia mikutano ya hadhara ambayo imebabisa watu wamepigwa na kuumizwa kwa Hadaa maridhiano.
Huko kwenye Usanii wao wameridhia ni mikutano ya hadhara lakini Uchaguzi ukifika mikutano ya hadhara inakuwa ni uwanja wa vita kwa polisi kuvurumisha mabomu na risasi kwa wananchi wanyonge.
Bado tu Mbowe haoni kuwa hilo ni tatizo kubwa sana lisilofaa hata kutamka kubwa kuna maridhiano . Yeye na manyumbu wake wanasema kuwa maridhiano yalikua na faida.
Faida ipi wakati mwaka jana tu wetu wameumizwa na kuuawa kwa sababu ya siasa kwenye mikutano ya kisasa .
CCM and Mbowe must goo.