Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

Kwanza wewe ni adui namba moja wa MAKONDA hakuna sehemu umemsema vizuri MAKONDA,wewe ni kumshambulia tu,nakufuatilia kila angle,


Nije kwenye hoja yako,hakuna sehemu MAKONDA kaponda mema anayoyafanya rais Samia ,bali MAKONDA ana dili na viongozi wazembe,wapumbavu kama wewe,mnaomvika mama Samia kilemba cha ukoka huku jamii ikmtengenezea chuki kwa kushindwa kutatua kero kwa dhamana alizowapa.

Anachokifanya MAKONDA ni kuwaanika wahuni nyie

Mwisho acha MAKONDA aseme mabaya ya Samia kama akili yako imekutuma hivyo,halafu wewe jikite kusema mazuri ya rais Samia,usimpangie gororko wewe
 
Unapomsikiliza utulie. Makonda ndo mtu pekee anyetangaza kazi nzuri za mama!! Lakini kumbuka yupo pia KM CCM na Viongozi wengine wa Chama na Serikali, wao wanafanya kazi gani? Unamuona Makonda tu?

Tuliza Makalio wewe CHAWA wa Wahuni.
we una ndizi, ni zombie km huyo Bashite
 
Hata Mrema alikuwa anajifanya kumsemea Mwinyi sana, lakini akaja kuongoza uasi mkubwa dhidi ya CCM. Na ndivyo itakavyokuwa kwa Makonda.
Ahsante mkuu, mi napenda watu wenye akili kubwa km wewe. Makonda ni kaburi la Samia. Ni kijana asiye na adabu, sijui amelelewa wapi, hata akiwa mkuu wa mkoa wa Dsm alikuwa juu ya mawaziri, hata sahivi anajiona yuko juu yao, anawapigia simu hadharani kuwadhalilisha na kujipa cheap popularity. Haheshimu wala hatambui taratibu, lile kwanza ni jinga kubwa. Na mtu mpumbavu mwepuke ataangamiza Taifa. Tusubiri Samia aendelee naye atajua kuwa hajui.
 
Umeona slogan ya CCM MBELE KWA MBELE inaigharimu nchi.
 
Konyo, nenda kamtawaze kama wanavyofanya wenzako, kisha wanampa uchifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…