Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Tutick tu ili mambo yaende jamani. Maana hata iweje mshindi ni CCMOktoba hakuna kutiki. Mwendo ni No Reforms No Election ✊️ ✌️

SIyo kweli.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Kwani tusipotiki jambo gani halitaenda?Tutick tu ili mambo yaende jamani. Maana hata iweje mshindi ni CCM
Kifupi ni kuwa wanakosa uzalendo wa kutumia taarifa hizo kuliokoa Taifa kwa kuwapiga chini waovu hao, wamemua kuwa Usalama wa Watawala badala ya jukumu lao la msingi la Usalama wa Taifa.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Wako overrated hakuna wanchojua zaidi ya baadhi yao kuvaa tumiwani tweusi hata wakati hakuna jua. Tatizo linaanza na namna wanavyopatikana.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Kujua, kila madudu, yanayofsnyika, harafu unakaa tu, nchi inaangamia, ama na wao wananufaika na madudu hayo, au ni kenge tu kama kenge wengine waliojaa serikalini,bungeni, jeshini, nchi ikiangsmia ikawa kama sudani, Libya, Somalia, wewe unapata ni ni? Ni, wachache Sana ambao hata wana bilioni nje ya nchi, kwamba nchi ikianguka wanakimbia, kenge wengi tunaishi nao mbweni, goba,uzunguni Dodoma, kisasa,njiro arusha, kikinuka, wakubwa wao wanalala mbele, hawa tunashika, tuna wa "mafwele"usiku kucha.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Yamkini kuna wa maslahi binafsi na wa maslahi ya taifa. Hapo lazima vumbi litimke!Inawezekana. Ila kugawanyika kutakuwa kimaslahi tu. Kama kuna suala la kujali maslahi ya Taifa hawapaswi kugawanyika