Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

walichofanikiwa ni
1)kutishia watu UNANIJUA MIMI NI NANI?kwenye mabaa na sehemu za burudani/starehe ..kutembea na bastola na kugombania ma baa medi/slay queen
2)Kuumiza watu wasiokuwa na hatia....kwa kivuli cha watu wasiojulikana
3)UCHAWA.

walicho feli/shindwa
1)Kulinda rasilimali za taifa...(madini,utalii,bandari n.k
Kwa utajiri wa madini na vivutio vya utalii ,mito ,bahari,maziwa.,gesi,n.k

2)KULINDA USALAMA WA TAIFA..mfano bandari ni lango la taifa ,ukiuza bandari tena kwa waarabu ambao wao ni WADINI/WABINAFSI / na suala la kuua watu hasa wasio wa dini yao kwao ni thawabu ..usalama wa taifa uko wapi kama lango kuu la taifa linamilikiwa na taifa jingine?? kama hifadhi ya LOLIONDO ni miliki ya nchi nyingine??
Wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao ya asili ili wapewe wageni?

HITIMISHO..KWA HALI ILIVYO "NI AIBU HATA KUTAMBULIKA KUWA WEWE NI MWANA TAI(EAGLE)...wakati watu wanapotea wanatekwa ,wanaumizwa,wengine wanauwawa....rasilimali za taifa zinapigwa mnada,..ndani ya nchi kuna nchi nyingine (ufalme wa kiarabu)hifadhi ya loliondo...
halafu mwana eagle unatembea na bastola baa..unajitambulisha ..UNANIJUA MIMI NI NANI..ili upate baa medi..na kutishia raia wengine

..eti mimi ni mtu wa system ILI UOGOPWE ujipatie manufaa binafsi kupitia kazi/cheo dhamana uliyopewa.Hivi vijamaa hivi...vinajikutaga miungu watu..ku deal na petty things ,hata majukumu yao kwa TAIFA sijui kama wanayajua.(Hakuna walicho achieve bora hii taasisi IFUTWE TU)

vetting siku hizi sijui kama inafanyika??

..SHAME ON YOU..?!
Acha na hao wahuni pia na wazuri wapo wenye mchungu na Tanzania yao
 
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi

Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.

Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.

Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.

Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.

#NoreformNoelection
No Reforms,No proper use of those info
 
Sasa, Kwa taarifa yako wamempata GWAJIMA. Walikuwa wanamtafuta mtu ambaye akili yake imetulia na ametanguliza utaifa kwanza....!

Huyu GWAJIMA amepewa taarifa nyeti ambazo akiitisha press ya pili kila Mtanzania atawachukia viongozi wa CCM milele yote .....sema milele yoteeee ....!

CCM wamechokwa na watu wa System mpaka basi.
 
Shida ya hao jamaa wengi ni uvccm! Sasa ukishasikia neno uvccm, sijui unapata picha gani kichwani mwako.
 
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi

Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.

Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.

Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.

Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.

#NoreformNoelection
Sio siku wakijua. Wao kazi yao ni kukusanya taarifa tu na kuziwasilisha kwa mlaji. Sasa ubaya wa bahati mlaji wa hizo taarifa ndo muhusika unadhani wao watafanyaje..!? Na muhusika ana Kinga akiwa na hata akitoka mchezoni. Watafanyaje Sasa .!?
 
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi

Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.

Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.

Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.

Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.

#NoreformNoelection
Hawana nguvu yeyote wako chini ya raisi na raisi ndo boss wao sponsor sasa ......so nguvu zao hutegemea rais anataka nini.... atleast jwtz kidogo wako independent.
 
Aisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
Waooh hawana hayo Mamlaka. Kazi yao ni kuchunguza na kufuatilia tu. Hawaruhusiwi hata kukamata. So ni jukumu la wanao pelekewa hizo taarifa kuzifanyia kazi. Sio wanao chunguza
 
Hawana nguvu yeyote wako chini ya raisi na raisi ndo boss wao sponsor sasa ......so nguvu zao hutegemea rais anataka nini.... atleast jwtz kidogo wako independent.
Wewe umeisoma vizuri Sheria ya usalama wa Taifa mkuu . Big Up. Wengi wanao chgangia huu Uzi wanadhani TISS Ni kama police.
 
Nawashukuru wenye akili kwa kuelewa.

Kuna point moja tu hawa wazalendo wanaimiss. Wanapaswa kujifunza sana kwa vyombo vya Magharibi.

Kamwe mwanasiasa hapaswi kuwa juu ya vyombo.
Nchi itakuwa haongozwi kwa katiba na Sheria. Kwenye Nchi za kidemokrasia zinazo ongozwa kwa misingi ya katiba na Sheria mtu alie chaguliwa na wananchi ndio top wa serikali. Yeye ndo Yuko juu ya kila Kitu kwa Sababu amepewa Mamlaka na wenye Nchi ambayo ni wananchi. Kabla huja Anza kuwaza hayo soma angalau kidogo katiba Mkuu. Hao wakuu wa hivyo vyomba wanateuliwa na Wana wajibika kwa mwanasiasa. Unless otherwise hao wenye vyombo wafanye kama yalee ya Mali, Burkina Faso au Niger unless otherwise tuendelee kula ugali maharage tu
 
Na hapo ndo tatizo linapotokea hadi Wanasiasa wanawapanda kichwani. Haipaswi kuwa hivyo. Mwanasiasa ni mtu wa kupita na kuangalia maslahi yake ya kisiasa.
Au wamegawanywa na kugawanyika kiasi kwamba wanaishi kwa kuviziana kama digidigi?
 
Ni sawa na kusema ;

" Pamoja na kwamba naendelea kuishi na mke wangu na kumvumilia, Ninajua amatembea na wanaume 10 nje ya ndoa"

Swali : Kujua kwako kumekusaidia Nini?
 
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi

Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.

Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.

Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.

Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.

Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.

#NoreformNoelection
Ingependeza kama hizi taarifa zingetumika kuzuia uhalifu, tuwe kama CIA/FBI, yaani unapita na mhusika baada ya kugundulika ili waogope. Leo hii unakuta binti wa kigogo anaanzisha kikundi cha kuteka na kuua na kupiga mabomu waumini wa kanisa na kutuma watu wamuue padre na TISS wanajua ni kinyume halafu wana tunza taarifa tu. Ninachokipenda sana nchi yetu ni mifumo yetu iko poa kabisa ndiyo maana I am proud kwa mwana CCM, CCM Oyeee! Dkt Samia ndiye mshindi 2025 na October tuna tick!
 
Oktoba hakuna kutiki. Mwendo ni No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Back
Top Bottom