CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kwa sababu mhusika mkuu ndiye anawalipa mshahara na posho zao nono.Aisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
Kwa sababu mhusika mkuu ndiye anawalipa mshahara na posho zao nono.Aisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
Hayo ndo mapungufu yao.Kama wanajua kwann wasikipoteze kimya kimya hicho kikundi cha wabakaji na wauaji nini kazi yao sasa kama sio sehemu ya kulamba asali
Vilevile,kuna uwezekano mkubwa taarifa zinazovuja si kwa mapenzi yao.Bali ni mmojammoja anapokerwa na mambo ya hovyo.Sasa unazani ule mkataba mpaka wanauacha Uleak walikua hawajui?
Uzuri sio Mhusika anayewalipa Mshahara. Wao ni Taasisi iliyopo kisheria hata muhusika asipokuwepo bado watapata mshahara tuKwa sababu mhusika mkuu ndiye anawalipa mshahara na posho zao nono.
Bado hawajajifunza ku act kama Taasisi kwa mslahi mapana ya Taifa.Vilevile,kuna uwezekano mkubwa taarifa zinazovuja si kwa mapenzi yao.Bali ni mmojammoja anapokerwa na mambo ya hovyo.
Uko sahihi 100%. Ukiwa TZ usije ukajidanganya hakuna anayekujua. Kuna watu wanajua hadi unapolala ila siku ukivuka mstari ndo utaona moto wao. Ila changamoto iliyopo ni taarifa kutumika saa nyingine wakubwa kulipizana visasi au kuoneana.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Mi nilijua mayonaiziSOURCE: Tomato Sauce
Hadi wanakuwa na license to kill ina maana wanapewa mamlaka wasiyoyatumia kikamilifu.Shida sio wao, Kazi yao ni kukusanya intelligence, na kushauri Mamlaka husika kuchukua hatua
Sasa hapo kwenye mamlaka ndo panashida kubwa, Labda huko mbeleni waongezewe meno.
Hawafanyi kazi in publick, ni nature ya kazi yaoSa mbona wameuchuna tu kama hawaoni yanayoendelea au.....au ile wape ya kazi au aaah au basi bana
Kwa sababu watoto wao hawatekwiHayo ndo mapungufu yao.
Hawapo pro active.
Wanafanya hadharani tu ila katika njia ambazo hawatambuliki.Wapo sehemu nyingi/zote kwa njia ya kujifunika.Hawafanyi kazi in publick, ni nature ya kazi yao
Umenikumbusha Mzee Wali Ngozi.Hawajui tu namna ya kutumia mamlaka yao. Wazee wenye akili waliashastaafu saivi kuna vijana wasiojielewa.
Hata huko huko private mbona hakionekani kitu?? Au utekaji hauwahusuHawafanyi kazi in publick, ni nature ya kazi yao
dunia nzima tiss hawajawahi pinduaSa mbona wameuchuna tu kama hawaoni yanayoendelea au.....au ile wape ya kazi au aaah au basi bana
Mapungufu yao makubwa ni kutotumia uwezo wao kuzuia na kuyashughulikia hayo vizuri.Wangekuwa wanaijua kila kitu, wangekuwa wanauwezo wa kuzuia, kukamata maana Sheria imewaruhusu na kutokomeza.
Tunawapa sifa nyingi wasizo kuwa nazo.
Nchi inapoteza kiasi Cha 4.7billion USD kwa mwaka kwa mtindo wa profit repatriation, wako wapi?
Failed op za ndani mfano Tundu Antipas Lisdu kudungwa risasi, halafu hizo sifa unazitoa wapi?
Failed Covert op ya Ally Kibao mpaka jamii kujua jinsi alivyo uwawa kwa waziwazi badala iwe Siri
Tekateka
Kamata kamata
Ua ya ua
Surubu surubu
Tuache kudanganyana aisee
Hao sio Enforcers kazi yao Ni Kushauri tuSa mbona wameuchuna tu kama hawaoni yanayoendelea au.....au ile wape ya kazi au aaah au basi bana