Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
Wapo chini ya mtu fulani... Mtu fulani ndo genge lilipo la kilaghaiAisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
Wapo chini ya mtu fulani... Mtu fulani ndo genge lilipo la kilaghaiAisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
Hapana **** umuhim, it just wabongo wamezoea matamko, mikupusho na matangazo mengiHata huko huko private mbona hakionekani kitu?? Au utekaji hauwahusu
Na hapo ndo tatizo linapotokea hadi Wanasiasa wanawapanda kichwani. Haipaswi kuwa hivyo. Mwanasiasa ni mtu wa kupita na kuangalia maslahi yake ya kisiasa.Hao sio Enforcers kazi yao Ni Kushauri tu
Sema ni mwisho wa uwezo wao au uwezo mdogo.Mapungufu yao makubwa ni kutotumia uwezo wao kuzuia na kuyashughulikia hayo vizuri.
NyauNani atamfunga paka kengele
Wamebadikisha Sheria Yao kwenye marekebisho madogo mwaka Jana.Na hapo ndo tatizo linapotokea hadi Wanasiasa wanawapanda kichwani. Haipaswi kuwa hivyo. Mwanasiasa ni mtu wa kupita na kuangalia maslahi yake ya kisiasa.
Sahihi kabisa.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Tiss ili umpe Meno lazima Umtoe kwanza ofisi ya Rais awe na Independence fulani mana yeye ana Serve interest za Taifa zaidi sasa Kumchimbia Kwenye Mhimili mmoja tayari ni undermine Ops zakeNa hapo ndo tatizo linapotokea hadi Wanasiasa wanawapanda kichwani. Haipaswi kuwa hivyo. Mwanasiasa ni mtu wa kupita na kuangalia maslahi yake ya kisiasa.
Huo ndio ushauri wa Gwajima halafu Bibi Kizimkazi Ana nuna kwasababu hapo Ufisadi wake utathibitiwa!Nawashukuru wenye akili kwa kuelewa.
Kuna point moja tu hawa wazalendo wanaimiss. Wanapaswa kujifunza sana kwa vyombo vya Magharibi.
Kamwe mwanasiasa hapaswi kuwa juu ya vyombo.
Hoja ya zako ziko kisheria na ukizisoma vizuri unaona zinaenda kugusa misingi mikuu ya nchi ambayo ni Katiba. Na hili ndo alishauri Gwajima na wanalisema kila siku Chadema.Tiss ili umpe Meno lazima Umtoe kwanza ofisi ya Rais awe na Independence fulani mana yeye ana Serve interest za Taifa zaidi sasa Kumchimbia Kwenye Mhimili mmoja tayari ni undermine Ops zake
Pili ile act ya Juzi 2023 naona haina Jipya Lolote zaidi ya Kuirudisha idara kwapani kwa Mkuu wa Nchi zaidi
Sana Sana Kizuri labda kile kipengele cha Kuwa DGIS akimaliza muda wake hata teuliwa tena Katika Nafasi yoyote ya Utumishi wa Umma kama ilivo kww CAG
Ukiona nchi maskink jua wavaa miwani wake ni dhaifu.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi