Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

SIyo kweli.
 
Kifupi ni kuwa wanakosa uzalendo wa kutumia taarifa hizo kuliokoa Taifa kwa kuwapiga chini waovu hao, wamemua kuwa Usalama wa Watawala badala ya jukumu lao la msingi la Usalama wa Taifa.
 
Wako overrated hakuna wanchojua zaidi ya baadhi yao kuvaa tumiwani tweusi hata wakati hakuna jua. Tatizo linaanza na namna wanavyopatikana.
 
Kujua, kila madudu, yanayofsnyika, harafu unakaa tu, nchi inaangamia, ama na wao wananufaika na madudu hayo, au ni kenge tu kama kenge wengine waliojaa serikalini,bungeni, jeshini, nchi ikiangsmia ikawa kama sudani, Libya, Somalia, wewe unapata ni ni? Ni, wachache Sana ambao hata wana bilioni nje ya nchi, kwamba nchi ikianguka wanakimbia, kenge wengi tunaishi nao mbweni, goba,uzunguni Dodoma, kisasa,njiro arusha, kikinuka, wakubwa wao wanalala mbele, hawa tunashika, tuna wa "mafwele"usiku kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…