Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

This is far fetched. HAMAS waachie mateka kisa kelele tena kelele za bongo? Vp hao raia wa nchi zingine?

More than half of Hamas' hostages have foreign nationality - Israel. JERUSALEM, Oct 25 (Reuters) - More than half the estimated 220 hostages held by Palestinian group Hamas have foreign passports from 25 different countries, including 54 Thai nationals, the Israeli government said on Wednesday.
Mbona mnataka kuandamana kuwaunga mkono Hamas na Palestina au hayo hamyaoni.
 
Mimi niandame kisa miarabu au miyahudi? Never. Wanaweza kuuana wote I could careless zaidi ya huruma ya kiutu tu. Wao hawatoi hata pole kwenye madhila yetu ila miafrika Ipo busy kubishania mabwana zao.
 
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.

Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.

Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.

Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.

Nimemumia sana aisee
Imani hapa inaingiaje kambarage ndie wa 1 kuwaunga mkono wapigania uhuru wa palesitina na ofisi yao bado hiko hapa pia kambarage aligoma kupeleka barozi Israel ndio kusema nae alikuwa muisilamu wewe Udini unakuwasha
 
Mkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Mkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
Kwani Mwl alivyowaunga mkono Biafra kujitenga na Nigeria alisukumwa na nini
 
Palestine anahusika vipi na hivyo vifo?

Vijana walichukuliwa mateka na hamas wamefariki Kwa mashambulizi ya jeshi la Israel!!

Sasa hapo Palestine anahusika vipi?
Hao hamas waliwachukua mateka Watanzania tena blacks ili iweje?
Acheni kutetea upuuzi wa magaidi
 
Mkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
Umeandika ujinga, jitafakari
 
Hao hamas waliwachukua mateka Watanzania tena blacks ili iweje?
Acheni kutetea upuuzi wa magaidi
Uislamu ndio unawatia upofu sababu unahusishwa kwa kiasi kikubwa na hao Magaidi wa Hamas...

Wanauwa watu wasio na hatia Kisha wanashangilia Lwakubaru Lwakubaru....!!!pumbavu kabisa na Lwakubaru wao

Israel iwafute kabisa hao Magaidi Duniani.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Na maanisha mleta hoja, umeandika ujinga una9nesha wazi unashabikia kitu gani?
 
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.

Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.

Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.

Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.

Nimemumia sana aisee
Kwani vitani huwa adui anaulizwa uraia wake?
 
na wanaficha kwamba alitekwa na hamas kama report ya israel ilivyosema, isije lawama ikaenda kwa hamas. waseme ukweli tu ili tuone umuhimu wa ubalozi wa palestina hapa nchini.
 
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.

Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.

Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.

Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.

Nimemumia sana aisee
Picha
 
Kuna tofauti kati ya Hamas na mamlaka ya Palestine (PA).

PA ndio tuna mahusiano nao sio Hamas
Hamas ya Gaza ipo kwenye serikali kama chama pinzani, kwahiyo chadema wakishinda majimbo wakaingia bungeni, utakuja kusema ccm ndio yenye mahusiano na nchi, sio Taifa zima including wabunge wa chadema? Fatah chini ya mahmood abas amefanya kitu gani kurescue mateka ambayo kijana wetu alikuwa miongoni mwao? balozi wa palestina umoja wa mataifa alikuwa anatetea kitu gani kama hamas na gaza sio part of the Palestinian authority?
 
Fatah chini ya mahmood abas amefanya kitu gani kurescue mateka ambayo kijana wetu alikuwa miongoni mwao?
Hamas ndio wanaodhibiti Gaza na sio fatah, hivyo fatah haina mamlaka ya kufanya lolote huko Gaza.

balozi wa palestina umoja wa mataifa alikuwa anatetea kitu gani kama hamas na gaza sio part of the Palestinian authority?
Balozi wa Palestine huko UN alikuwa anatetea raia wa Gaza wanaokufa kutokana na hii Vita, isitoshe sio raia wote wa Gaza ni wafuasi wa Hamas.

Hamas ya Gaza ipo kwenye serikali kama chama pinzani, kwahiyo chadema wakishinda majimbo wakaingia bungeni, utakuja kusema ccm ndio yenye mahusiano na nchi, sio Taifa zima including wabunge wa chadema?
Fatah ndio viongozi wa PA na hawana udhibiti wowote huko Gaza, isitoshe PA na Hamas walishagombana na kupigana toka mwaka 2007.

Waliofanya utekaji na mauaji huko Israel 7/10/2023 ni Hamas na Islamic jihadi, sio fatah wala PA.
 
Back
Top Bottom