Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linatosha sana, kuna Binti mbichi' tumempoteza baada ya kutoka nje ya bus kupitia kioo cha mbele, bus halikua na mikanda, suala la kufunga ni la wenye bus kuwashupalia abiria.Sasa hili ndio linaweza kuwa sababu ya kustopisha hizi safari? Kuna yale yako na mikanda na bado hamfungi, kosa ni la nani?
Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.
Rejea raharifa ya LatraSio abiria wote wanasafiri usiku. Tena ni baadhi ya makampuni tu ndio yanasafirisha usiku.
Kufeni njaa au tafuteni kazi nyingineSafari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matraffik barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi...maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa Nini ....?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, Ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika Sana....
Mwisho wa siku badala ya kuwanufaisha Watanzania wenye vipato vidogo na vya kati, wanaofaidika ni matajiri wa Mabasi...
Kwa hiyo wewe hutaki kusafiri usiku.Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.
Punguzeni kulia lia mbona hata computer na simu zimepunguza ajira kwa watu wengi lakini bado watu wanaishi.Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.
Baba yako hamtoboi mamayako???ulofa huu²Mkuu. Rudi nyumbani mapema. Mkeo naye anakuhitaji 'ukamtoboe' [emoji41][emoji41][emoji41]
Tena saaana. Rushwa imepungua Pia na msongamano wa mabasi.Wakwamishaji washugulikiwe, ukaguzi wa magari yanayofanya safari za usiku uongezeke kwa sababu wengi wamenza na mabasi yaliyochoka.
Yapo mabasi mengi ya mchana pia hayana mikanda ya usalama na hata yaliyo nayo abiria wengi hawafungi hiyo mikanda.Acha kelele,hayo mabasi mikanda ya usalama tu hayana,fuateni utaratibu
Hata mchana ajali huwa zinatokea na mabasi mengi tu yanakiuka taratibu nyingi za barabarani.Kitakachosaidia utaratibu huu usipigwe marufuku ni kutokiuka utaratibu na Ajali.
Ni risk Sana kaka Usiku, sie tunao safiri Sana Usiku tunajua...vimbwanga vya Usiku wenye magari madogo wanaonewa Sana, afu wenye malori na mabasi wanafanyiana ubabe Sana mwisho wa siku ni ajaliKwa hiyo wewe hutaki kusafiri usiku.
Wewe usisafiri usikuNi risk Sana kaka Usiku, sie tunao safiri Sana Usiku tunajua...vimbwanga vya Usiku wenye magari madogo wanaonewa Sana, afu wenye malori na mabasi wanafanyiana ubabe Sana mwisho wa siku ni ajali
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe usisafiri usiku
Acha porojo zakoSafari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matraffik barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.