Pamoja na Serikali kuruhusu usafiri saa 24, wapo wafanyabiashara na watendaji wa serikali wanapanga kukwamisha utaratibu huu; tuwapige vita

Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.

Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?

Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.

Mwisho wa siku badala ya kuwanufaisha Watanzania wenye vipato vidogo na vya kati, wanaofaidika ni matajiri wa Mabasi.
 
Sasa hili ndio linaweza kuwa sababu ya kustopisha hizi safari? Kuna yale yako na mikanda na bado hamfungi, kosa ni la nani?
Hilo linatosha sana, kuna Binti mbichi' tumempoteza baada ya kutoka nje ya bus kupitia kioo cha mbele, bus halikua na mikanda, suala la kufunga ni la wenye bus kuwashupalia abiria.
 
Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.

Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?

Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.

Sio abiria wote wanasafiri usiku. Tena ni baadhi ya makampuni tu ndio yanasafirisha usiku.
 
Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matraffik barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi...maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa Nini ....?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, Ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika Sana....
Mwisho wa siku badala ya kuwanufaisha Watanzania wenye vipato vidogo na vya kati, wanaofaidika ni matajiri wa Mabasi...
Kufeni njaa au tafuteni kazi nyingine
 
Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matrafiki barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.

Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi, maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa nini?

Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika sana.
Kwa hiyo wewe hutaki kusafiri usiku.
 
Punguzeni kulia lia mbona hata computer na simu zimepunguza ajira kwa watu wengi lakini bado watu wanaishi.
 
Polisi na Ratra Fedha za rushwa hawapati Usiku, wameanza kusema Eti spidi zinachezewa Usiku. Hakuna Ni Wizi tu, mizizi ya rushwa imekatwa. Polisi Acheni rushwa.
 
Wakwamishaji washugulikiwe, ukaguzi wa magari yanayofanya safari za usiku uongezeke kwa sababu wengi wamenza na mabasi yaliyochoka.
Tena saaana. Rushwa imepungua Pia na msongamano wa mabasi.
 
Kitakachosaidia utaratibu huu usipigwe marufuku ni kutokiuka utaratibu na Ajali.
Hata mchana ajali huwa zinatokea na mabasi mengi tu yanakiuka taratibu nyingi za barabarani.
 
Kwa hiyo wewe hutaki kusafiri usiku.
Ni risk Sana kaka Usiku, sie tunao safiri Sana Usiku tunajua...vimbwanga vya Usiku wenye magari madogo wanaonewa Sana, afu wenye malori na mabasi wanafanyiana ubabe Sana mwisho wa siku ni ajali
 
Wewe usisafiri usiku
 
Safari za Usiku umekuwa na changamoto nyingi Sana, kwanza usimamizi wa Sheria umekuwa mdogo Sana, pia baadhi ya makampuni ya Mabasi hawapumzishi Mabasi yao kujiandaaa kwa safari wao wanashusha na kupandisha, Aya madereva wao hawapati muda wa kupumzika, unakuta dereva kapauka na usingizi umemjaa USoni, njoo swala la Speed jamaa wanakimbiza gari utafikiri Kuna mashindano kisa hakuna matraffik barabarani. Kwakweli usafiri wa Mabasi Usiku unachangamomoto Sana.
Sasa njoo kwenye Athari za kiuchumi...maeneo ya Stendi za Mabasi wenye Malodge na mahoteli nao wanalia biashara mbovu, mama ntilie nao wanalia wenye maduka ya nafaka pia wanalia na mzunguko kuwa mdogo, kwa Nini ....?
Kwa Sababu abiria waliokuwa wanasafiri alfajiri kwa Sasa hawahitaji hizo huduma, so what next, Wenye malodge na mahoteli watapunguza kazi vijana, Kodi zilizokuwa zinakusanywa na halmashauri zitapungua km siyo kukosa kabisa, njoo mapato ya TRA nayo yatapungua, Ukija kwa ajira walizokuwa wamepata mama ntilie na migahawa yao wanarudi majumbani na majonzi Kila siku, wenye maduka wanaozunguka maeneo ya Stendi pia mauzo yao yameshuka, kwa ujumla income multiplication imeharibika Sana....
Mwisho wa siku badala ya kuwanufaisha Watanzania wenye vipato vidogo na vya kati, wanaofaidika ni matajiri wa Mabasi...
Acha porojo zako
Sahz machinga na mama ntilie wote wanafurahi abiria muda wote wapo .
Wenye ma Bus efficiency/Productivity imeongezeka Sana Bus inaondoka asubuhi Magufur Stand to Arusha jion inaludi Dar.
 
Waruhusu kila kitu kiwe 24 hrs. Mfano . Ma bar, hospital, ofisi za serikali na mengineyo mengi

Itaongeza ajira nyingi sana
 
Back
Top Bottom