Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

KAYUMBA schools za Likudi ndiyo chanzo Cha zero Kwa wanafunzi.Hakuna hata EMs Moja ambayo mwanafunzi wake hata mmoja ambaye amepata daraja la sifuri.
 
Shule za kata hali ni mbaya. Imagine Tanzania tuna shule za kata zaidi ya 1000 alaf shule ya kata moja inatoa zero 100. So hapo madogo kama 100,000 wanakimbilia mtaani kwenye "survival of the fittest"
Sisi tunawakaribisha kwenye kazi zetu za ulinzi huku watake wasitake waje kuwa bucha la mbu kwenye apartments za wazungu huku masaki
 
Hao wanafunzi wamefili sababu walimu wao wamegoma kuwafaulisha, elewa neno kuwafaulisha
Wew kama viongozi wa Serikali wanawa dharau walimu na kushindwa kuwapa kipaombele katika kuboresha maisha yao unafikiri watafanya kazi Kwa bidii zote kuhakikisha wanafunzi wanafaulu, ndio ujue mfumo wetu wa elimu ni pyramid in shape.
 
Sisi tunawakaribisha kwenye kazi zetu za ulinzi huku watake wasitake waje kuwa bucha la mbu kwenye apartments za wazungu huku masaki
Sio mchezo kabisa madogo wawahi Bakhresa kasema hataki vyeti anataka talent vyeti ukuda tu mchezo wa kufaulishana nani hajui
 
Hao wanaoenda chuo kikuu wakitoka wanakuja kuuza ukwaju wa bakhresa na hao wa kitunda,kusajili laini na hao wa kitunda, kukimbiza boda boda na hao wa kitunda, kuwa wachekeshaji mitandaoni na hao wa kitunda au nakosea ?
Na cha kuchekesha zaidi hizo connection za bodaboda sijui kuuza ukwaju wanapewa na wailopata zero.
 
Wew kama viongozi wa Serikali wanawa dharau walimu na kushindwa kuwapa kipaombele katika kuboresha maisha yao unafikiri watafanya kazi Kwa bidii zote kuhakikisha wanafunzi wanafaulu, ndio ujue mfumo wetu wa elimu ni pyramid in shape.
Walimu hawa wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ujao au unazungumzia walimu gani?
 
Afisa Elimu unamwonea bure wapunguze kucheza ngoma, alafu unakuta shule inatwa Kimbangu Sekondari unatarajia Mtoto atoboe kweli, hata majina ya shule yaangaliwe
 
Afisa Elimu unamwonea bure wapunguze kucheza ngoma, alafu unakuta shule inatwa Kimbangu Sekondari unatarajia Mtoto atoboe kweli, hata majina ya shule yaangaliwe
Kwa hio yaitweje Sa100 ili watoto wote wafaulishwe kusafisha jina au sio?
 
Hao Walimu huwaambii kitu kuhusu CCM yaan hata wapunjwe wafanywe nini wadharauliwe ila mengine acha nipige buyu
Mie sitaki kulizungumzia suala hili kisiasa napia naheshimu sana mawazo yako lakini tukae tukijua mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana na ndio uliotufikisha hapa, na kusababisha hayo yote uliyosema ambayo yanafanywa na walimu.
 
Na wewe ungefanya mtihani hapo kitunda sec kwa huu mwandiko wako basi zero zingekuwa 250
 
Mie sitaki kulizungumzia suala hili kisiasa napia naheshimu sana mawazo yako lakini tukae tukijua mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana na ndio uliotufikisha hapa, na kusababisha hayo yote uliyosema ambayo yanafanywa na walimu.
Pale juu umesema walimu wanadharauliwa ila wanafanyaje?
 
Nakubalina na wewe mabweni yanaweza saidi kukuza elimu, sambamba na kukomesha utoro wa wanafunzi hasa kupenda kwenda kuogelea baharini wakati wa masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…