David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Siku zote mliofeli shule mnapenda sana kujifariji,hata kama wataendesha bodaboda kamwe hawawezi kuwa Sawa huyo aliyefaulu muda wowote anaweza kuacha bodaboda akapata kazi ya maana...ila huyo aliyepata zero hiyo boda boda ndio itakuwa ajira yake ya kudumu akijitahidi sana atakuwa saidia fundiHao divisions one wako, baada ya kumaliza chuo kikuu, utawakuta wanaendesha bodaboda kitaa..