Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

Hao divisions one wako, baada ya kumaliza chuo kikuu, utawakuta wanaendesha bodaboda kitaa..
Siku zote mliofeli shule mnapenda sana kujifariji,hata kama wataendesha bodaboda kamwe hawawezi kuwa Sawa huyo aliyefaulu muda wowote anaweza kuacha bodaboda akapata kazi ya maana...ila huyo aliyepata zero hiyo boda boda ndio itakuwa ajira yake ya kudumu akijitahidi sana atakuwa saidia fundi
 
Siamini katika huyu aloleta hii mada kama hata ana three huwezi kulalamika kiongozi afutwe kwa wingi wa shule na miundombinu mibovu toka mtoto anatoka nyumbani, shule na mwisho ujuaji wa wazazi wa Dar haisaidii ni janga kitaifa viongozi katika elimu imefikia wakati wanaogopa wazazi wanaacha mambo yaende, wazazi tujitafakari tena na tena
 
Hao madogo waliopata matokeo leo nani kakosa ajira mpaka uanze kusema mwenye zero amempita mwenye 1 kimaisha?
Mkuu unajibu kwa kukurupuka mimi nimesema iwapo mwenye 1 kamaliza chuo halaf amekosa ajira.
 
Kusomesha mtoto mjini ni kazi mno bora kumtupa mikoani tu. Huenda ataambulia hata div.4 akafanye udereva
Sometimes pia inategemea na akili ya mtoto mkuu.

Wengine tumesoma day mwanzo mwenga tena shule za mjini kabisa hzo zilizo karibu na Hospitali ya Muhimbili na tulitoboa tena kwa ufaulu mzuri tu.Na mbaya zaidi tumetokea vitaa vya starehe tupu huko Sinza enzi hizo lakini tumetoboa.

Kama akili ipo,ipo tu bloangu.
Cha muhimu ni kujitambua tu na kuwa na displine na shule.

Kama mzazi unaona mwanao hawezi kupambana na shurba za kitaa,boarding muhimu
 
Afisa elimu ndio ana akili za hao wanafunzi?...Acha roho za kimasikini.
 
Wewe kama Mzazi pia una wajibu wa kutoa hamasa na kumsisitiza mwanao kusoma kwa bidii na siyo kuachia kazi hiyo kwa walimu pekee. Timiza wajibu wako vyema.
Mwashambwa as your name represents and idiot! Numbers dont lie this is the reality.
Free education without knowledge is a politician’s illusion—glorified buildings without adequate teachers, learning materials, or IT facilities. While the majority of poor citizens celebrate these empty promises, their children remain disadvantaged, stuck in underperforming public schools. Meanwhile, the privileged send their children to private schools equipped to excel in national examinations, qualify for university, and secure lucrative jobs or influential political positions. The children of poor peasants, street vendors, and mama lishe are left behind, told to embrace self-employment and vote for the very system that marginalizes them."
 
Mkuu unajibu kwa kukurupuka mimi nimesema iwapo mwenye 1 kamaliza chuo halaf amekosa ajira.
Akikosa ajira Div. 1 yake haifutiki, wala mwenye zero hawi na ufaulu. Na wala haitokei UTUMISHI wakatangaza nafasi za ajira, wakapata nafasi wenye zero na miswaki. Kwahiyo huyo asiye na ajira na ana elimu husika chances za kuipata baadae zipo, huyu mwenye miswaki ana 0.005% probability.

Ndio maana hujauliza vipi mwenye zero kukosa ajira, sababu haikushangazi na ni kitu cha kawaida cha kutegemewa.
 
Mkuu kwa Tz ya leo mtu mwenye connections ndo anapata ajira kiurahisi so mtu akimaliza chuo na hana connections atasota sana mtaani pamoja na wale wenye zero na kumbuka muda huo wenye 0 walikuwa wanajitafuta wakati wenye 1 wanasoma so mwenye 1 atamkuta mweye 0 yupo mbali.
 
In Tanzania, mwenye connections za maana hata kama ana miswaki sio sawa na division one wa uswahilini. Rejea kisa cha mtoto wa kigogo miaka ya nyuma sijui Mwanahawa au Mwajuma yule..
 
Bila connections za maana bongo hautoboi..
 
Leeni watoto ktk maadili, wazazi wengi wa dar wanawaleta watoto wao mikoani tuwasaidie kulea, huko mnapopaita dar hapana maana ktk malezi ya watoto
 
Watawala utawaona Dodoma wanaimba "iyena iyena" kwa bashasha huku wakiburudishwa na akina Zuchu.

Tukiwapigia sana kelele,mwakani hiyo Kitunda secondary form four wote watapiga Div one.

Hii hali inaogopesha sana siku za usoni, hawa vijana tunawaandalia mazingira gani ya baadaye kwa manufaa ya Taifa?
 
. Shida serikali haijawekeza sana katika shule zao wakishajenga madarasa kumi.na vyoo viwili wanaona wamemaliza matokeo yake shule nyingi ila quality mbovu.
 
Malaya na vibaka wanazidi kuongezeka mtaani
 
Kwanza wanafunz wa shule za serikali dar , form four na form two hakuna mwaka wamewahi kufanya vizuri.

Kumfukuza Afisa Elimu sio sahihi .

Angalia chanzo ni nini
 
LIKUD amejificha tangu matokeo yatangazwe. Anaona aibu kabisa..
 
Kabla ya kumfukuza Afisa Elimu, tujiulize kama Serikali imetimiza wajibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…