Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

Watoto wapo busy na play station majumbani lkn umemuwaza kijana wa watu ujira wake,Dar wamejaa wanafunzi matapeli na siwasomi, kwanza wanajiona wanajua kuliko mungu,malezi yao yapo hovyo na akili hawana don’t think mtu atafaulu hapo.
Anza na wazazi/walezi ndipo uje Kwa afisa elimu
Dar ujinga mwingi mtaani kuliko sehemu yyt TZ
 
Bora wafeli mapema tu wakaanze mihangaiko ya mtaani haraka iwezekanavyo kuliko kusota hadi chuo kikuu harafu unarudi kukaa mtaani tu bure
 
Kwani nani anajukumu la kuwaadabisha hao wacheza singeli na wavuta bangi?
Na ukiona mtoto kaingia kwenye hayo makundi ujue ya kuwa shuleni walimu walikuwa wanazembea kwakuwa watoto muda mwingi wanautumia shuleni na wanaanza kuharibika wakiwa shuleni.
Suala la malezi linaanzia nyumban wewe mzaz kama ni mvivu wa kulea na kufuatilia mwanao usitegemee mtu mwingine akusaidie
Ulimzaa mwenyewe lea mwenyewe kazi ya mwalimu ni kufundisha basii

Wazazi wenyewe wa siku hizi ovyo sana
Kila mtu apambane na hali yake
 
Dar watoto bangi na kugongana sana
Sitetei shule za dar ila naona mnawalaumu sana wanafunzi. Shida wanafunzi wa dar wanapata matatizo ya usafiri makonda wanawakataa sana kwenye daladala halafu dar watoto ni wengi kuliko mikoani unakuta darasa moja lina watoto 100 mwalimu hawezi kuwacontroll wote hao. Mi naishauri serikali ijenge mabweni kwenye shule za dar na iongeze madarasa ikiwezekana wajenge maghorofa kama Znz.
 
wanafunzi wa Daslam ukitaka ujue tabia zao ni za ovyo sana...Panda Treni lile la pugu jioni wale madogo wanapigana hadi miti mule ndani.
 
Kwa mazingira halisi ya hizi shule aisee hawa watoto wa shule hizi za kata aka kayumba wametoboa.
 
Tafiti za kina zifanywe shule za serikali tena ni Dsm
 
Chibu naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…