Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio wale wanenguaji na washangiliaji CCM wakiipora nchiHao ma-zero ndio profit ya CCM yaan hivyo yaan km hujaelewa hujaelewa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wale wanenguaji na washangiliaji CCM wakiipora nchiHao ma-zero ndio profit ya CCM yaan hivyo yaan km hujaelewa hujaelewa tena
Alafu kuna headmaster!Zero 200.
Watoto wapo busy na play station majumbani lkn umemuwaza kijana wa watu ujira wake,Dar wamejaa wanafunzi matapeli na siwasomi, kwanza wanajiona wanajua kuliko mungu,malezi yao yapo hovyo na akili hawana don’t think mtu atafaulu hapo.matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249 wamepata division zero. Unajiuliza hii shule ina uongozi kweli? Afisa Elimu nae analipwa mshahara kabisa? Nini kifanyike wakuu?View attachment 3211475
View attachment 3211479
View attachment 3211481
View attachment 3211491
View attachment 3211492
Soma: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Usiwe punga basi, si useme kivp?Wamegoma kuwafaulisha
Suala la malezi linaanzia nyumban wewe mzaz kama ni mvivu wa kulea na kufuatilia mwanao usitegemee mtu mwingine akusaidieKwani nani anajukumu la kuwaadabisha hao wacheza singeli na wavuta bangi?
Na ukiona mtoto kaingia kwenye hayo makundi ujue ya kuwa shuleni walimu walikuwa wanazembea kwakuwa watoto muda mwingi wanautumia shuleni na wanaanza kuharibika wakiwa shuleni.
Oya matusi hayo jiangalie wengine tuna wake na watoto humu na watu tunaowaheshimu heshima ishike mkondo kijanaUsiwe punga basi, si useme kivp?
Sitetei shule za dar ila naona mnawalaumu sana wanafunzi. Shida wanafunzi wa dar wanapata matatizo ya usafiri makonda wanawakataa sana kwenye daladala halafu dar watoto ni wengi kuliko mikoani unakuta darasa moja lina watoto 100 mwalimu hawezi kuwacontroll wote hao. Mi naishauri serikali ijenge mabweni kwenye shule za dar na iongeze madarasa ikiwezekana wajenge maghorofa kama Znz.Dar watoto bangi na kugongana sana
wanafunzi wa Daslam ukitaka ujue tabia zao ni za ovyo sana...Panda Treni lile la pugu jioni wale madogo wanapigana hadi miti mule ndani.matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249 wamepata division zero. Unajiuliza hii shule ina uongozi kweli? Afisa Elimu nae analipwa mshahara kabisa? Nini kifanyike wakuu?View attachment 3211475
View attachment 3211479
View attachment 3211481
View attachment 3211491
View attachment 3211492
Soma: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Chibu nayeJuma Nature kazaliwa uswahilini na anaijua vizuri mitaa. Ni hilo group la Miswaki FC, aliishia elimu ya chini sana na alikuwa na muda mwingi kuijua mitaa na kupata umaarufu usio na nguvu ya elimu nyuma.
Fred Ngajiro "Vunjabei" ni mshamba wa kutoka kwa wauza mbao mkoani uko, hajui lolote kuhusu jiji na ana elimu ya juu (Master's) na alikuwa na ufaulu wa Division 1 kama sio 2.
Juma Nature anamzidi Vunjabei kimaisha??
Ulichukua hatua gani?wanafunzi wa Daslam ukitaka ujue tabia zao ni za ovyo sana...Panda Treni lile la pugu jioni wale madogo wanapigana hadi miti mule ndani.