Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

mbona team mond hii post wanaipita kama hawaioni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
gwajima nd anajua kuhus utajir wa mondi,muulize
 
mbona team mond hii post wanaipita kama hawaioni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Post ya uongo,.ali hata mi namshinda
 
ali kiba ana gawa magari kibao tu!!

seduce me una viewers 3.2m na ule zilipendwa una 2.2
 
kiba hapendi kujionesha kwasababu kwake anaona vya kawaida ila mond lazima apagawe kwa maana maisha aliyopitia ni ya choka mbaya Sana'a!!
 
Ali Kiba hana cha kuonesha,ndiyo maana hatuoni chochote.Kwa mtu maarufu hata usipotuonesha Mapaparazi wangekuwa wanapenyeza hata tetesi.Tuwe wakweli Ali Kiba anautajiri wa Sauti,Maringo,Kujiona,Kujisikia etc.Lakini kujiingizia kipato apige kozi Diamond (Ambaye tayari amejiwekea misingi ya uvunaji pesa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seven meneja wa Ali K..ni MTU mwerevu kupita mameneja wote wa Mondi...Ali alivyopiga kimya wasafi wakatoa nyimbo 20 zote za kawaida(producer wao sio mkali)..kukawa na kummiss Ali kimkakati..alivyotoka balaa wanaangaika wasijue la kufanya...nakumbuka Tale aliulizwa clouds FM issue za madawa àkajibu kirahisi mziki una hela kuliko ngada..alitaka kuaminisha watu hivyo..ukaribu wa diamond na Kinje unatia shaka
 
100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu mbona kiba ni duni sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani muanzisha beef kT ya hao wawili tuanze apo kwanza siyo unakurupuka tu......kiba si alirudi kw mbwembwe, vijembe na maneno kibao kama mwanamke mzalamo.....kiba ndo mwanzilishi wa hili beef.....asingerudi kwa vijembe na dharau kwa mwenzie sizani kama izi mambo zingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hoja kwann ALI KIBA NI LOFA.....na DAIMOND tajiri.....ukweli ni kwamba MAADUI wa DAIMOND wanatumia nguvu nyingi sn kumbeba KIBA...na wakati wa kiba ushapita.....na ikumbukwe kuwa KAMA isingekuwa DIAMOND leo hii hyo BONGO FLEVA ingeshakufa kama BONGO MOVIE....na pia hiyo nyimbo ya SEDUCE me ni ya kawaida sn tu..NYIMBO ina maneno ya UPUUZI mtupu...mara MANDINGA.mara KIPUSA ....chuki zenu ndy zinambeba KIBAKULI....ndy maana tunasema NYIMBO ya INSTAGRAM na FACEBOOK tu...inaishia huko..huko..na siku zote huwezi fananisha THAMANI ya 504 PEUGEOT (KIBA)na BUGGATI CHIRON(DIAMOND)..kinachofanyika now ni kumfananisha DIANOND na vitu vya KIPUUZI..unasema diamond katoa nyimbo kibao ZIMEBUMA...kweli UPO VIZURI kiakili ? Diamond kachukuwa TUZO KIBAO kwa nyimbo hizo ulizosema ZIMEBUMA.....wakati huo KIBAKULI YUPO KIMYA TU haijulikani ANAIGIZA MOVIE au anachofanya... hivi kama wanamuzi wangekuwa mwaka mzima anatoa nyimbo moja kweli tungesikiliza mziki?au na wewe huyo diamond kakuchukulia? Maana visasi vingi ukiangalia ni vya wanawake na wivu wa maendeleo tu...unasema nani kamuanza mwenzie .....siku zote DIAMOND anatukanwa mitandaoni na watu wa KIBAULI...WEMA..HAMISA....na wale wote wenye chuki nae...kwani aliposema hawezikuwa km CINDERELA ni tusi?matokeo yake akanza kutukanwa matusi mazito ya nguoni....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiba hapendi kujionesha kwasababu kwake anaona vya kawaida ila mond lazima apagawe kwa maana maisha aliyopitia ni ya choka mbaya Sana'a!!
Hana cha kuonyesha ndo maan yupo kmy....hakuna msanii asiyependa show off.....kuna kipindi nahisi ni GSM walikuwa wanachangisha pesa kwa ajili ya upasuaji wa wtt wny vichwa vikubwa nakumbuka domo alitoa 20M kiba akaenda kutoa 21M na kutangaza jumla ili tujue yeye katoa kubwa zaidi.....siku akimzidi mond kimkwanja atapost sana kwa mbwembwe lkn asa iv hana cha kuonyesha, that is the naked truth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiba hapendii show off ndo mana

Nokia ya Torch
Diamond yuko vizuri sana,hili wala halina ubishi, japo sipendi bifu kati yao, na response ya juzi haikuwa nzuri toka pande zote. Kiba ana sauti nzuri, Diamond ni performer, napenda kumuona jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…