Kabla domo kubwa hajarusha mipasho yake kwenye ile nyimbo ya fid q Kiba alirusha kijembe gani before,Nani muanzisha beef kT ya hao wawili tuanze apo kwanza siyo unakurupuka tu......kiba si alirudi kw mbwembwe, vijembe na maneno kibao kama mwanamke mzalamo.....kiba ndo mwanzilishi wa hili beef.....asingerudi kwa vijembe na dharau kwa mwenzie sizani kama izi mambo zingekuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alilianzisha hili beef nani chanzo cha haya yote....who was the first source of this shit (beef) labda nikisema apo utakuwa umenielewa.....imagine kiba angerudi tu kwny mziki kwa amani bila vijembe na mipasho kwa domo unafikiri huu ipuzi ungekuwepo....??Kabla domo kubwa hajarusha mipasho yake kwenye ile nyimbo ya fid q Kiba alirusha kijembe gani before,
Source yangu ni sporah show 2014 kiba aliropoka vitu vingi sana mle kuhusu domo...na mm nikuulize kabla ya hapo ulikuwa ushawahi kumsikia mond akimtupia vijembe kib...tokea apo ndo chanzo cha haya yote.Kabla domo kubwa hajarusha mipasho yake kwenye ile nyimbo ya fid q Kiba alirusha kijembe gani before,
Hivi value ya viwers 3.2m iliyopigiwa promo uck na mchana na kimambi...inalingana na 2.2m isiyopigiwa promo??????? What if mange asingepiga promo ya seduce??? .....simba ni simba tuali kiba ana gawa magari kibao tu!!
seduce me una viewers 3.2m na ule zilipendwa una 2.2
hahahahahah...eti hapendi sho off....Mkuu kiba hapendii show off ndo mana
Nokia ya Torch
mkuu.Kiufupi ni kuwa hana kitu.Mapaparazi wangeshatuonesha...sio lazima yeye aonesheUmewai fatilia Mali alizonazo kiba au uliwai ona wapi kiba anatangaza vitu anazomiliki hazarani??
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana mimi nashangaa...eti watu wanapiga kabisa kampeni..nendeni you tube..nendeni youtube.Ndio mana mi ninasema...in weeks time Wimbo wa mondi uta overtake..kwa sababu views zina kuwa naturallyHivi value ya viwers 3.2m iliyopigiwa promo uck na mchana na kimambi...inalingana na 2.2m isiyopigiwa promo??????? What if mange asingepiga promo ya seduce??? .....simba ni simba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiona wanapitwa wanarudi kama manyumbu kwa kasindio maana mimi nashangaa...eti watu wanapiga kabisa kampeni..nendeni you tube..nendeni youtube.Ndio mana mi ninasema...in weeks time Wimbo wa mondi uta overtake..kwa sababu views zina kuwa naturally
Hapo ndipo bifu lilippanzia???[emoji125] [emoji125] [emoji125]Source yangu ni sporah show 2014 kiba aliropoka vitu vingi sana mle kuhusu domo...na mm nikuulize kabla ya hapo ulikuwa ushawahi kumsikia mond akimtupia vijembe kib...tokea apo ndo chanzo cha haya yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point alisema kuna mtu alikuwa kakalia kiti changuNani muanzisha beef kT ya hao wawili tuanze apo kwanza siyo unakurupuka tu......kiba si alirudi kw mbwembwe, vijembe na maneno kibao kama mwanamke mzalamo.....kiba ndo mwanzilishi wa hili beef.....asingerudi kwa vijembe na dharau kwa mwenzie sizani kama izi mambo zingekuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hhhhhhhhh njoo nikupe jaman... umenikuna sana hhhhhhhhHapa hoja kwann ALI KIBA NI LOFA.....na DAIMOND tajiri.....ukweli ni kwamba MAADUI wa DAIMOND wanatumia nguvu nyingi sn kumbeba KIBA...na wakati wa kiba ushapita.....na ikumbukwe kuwa KAMA isingekuwa DIAMOND leo hii hyo BONGO FLEVA ingeshakufa kama BONGO MOVIE....na pia hiyo nyimbo ya SEDUCE me ni ya kawaida sn tu..NYIMBO ina maneno ya UPUUZI mtupu...mara MANDINGA.mara KIPUSA ....chuki zenu ndy zinambeba KIBAKULI....ndy maana tunasema NYIMBO ya INSTAGRAM na FACEBOOK tu...inaishia huko..huko..na siku zote huwezi fananisha THAMANI ya 504 PEUGEOT (KIBA)na BUGGATI CHIRON(DIAMOND)..kinachofanyika now ni kumfananisha DIANOND na vitu vya KIPUUZI..unasema diamond katoa nyimbo kibao ZIMEBUMA...kweli UPO VIZURI kiakili ? Diamond kachukuwa TUZO KIBAO kwa nyimbo hizo ulizosema ZIMEBUMA.....wakati huo KIBAKULI YUPO KIMYA TU haijulikani ANAIGIZA MOVIE au anachofanya... hivi kama wanamuzi wangekuwa mwaka mzima anatoa nyimbo moja kweli tungesikiliza mziki?au na wewe huyo diamond kakuchukulia? Maana visasi vingi ukiangalia ni vya wanawake na wivu wa maendeleo tu...unasema nani kamuanza mwenzie .....siku zote DIAMOND anatukanwa mitandaoni na watu wa KIBAULI...WEMA..HAMISA....na wale wote wenye chuki nae...kwani aliposema hawezikuwa km CINDERELA ni tusi?matokeo yake akanza kutukanwa matusi mazito ya nguoni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nishafika mkuu..nasubiri kupewa...hhhhhhhhh njoo nikupe jaman... umenikuna sana hhhhhhhh
HHHHHH eti hapendi show off hhhhhh millard ayo na kujificha kote lakini tz nzima inajua show of zske kama sudio yake na ayo tv bila kusahau mikataba yake hhhhhHana cha kuonyesha ndo maan yupo kmy....hakuna msanii asiyependa show off.....kuna kipindi nahisi ni GSM walikuwa wanachangisha pesa kwa ajili ya upasuaji wa wtt wny vichwa vikubwa nakumbuka domo alitoa 20M kiba akaenda kutoa 21M na kutangaza jumla ili tujue yeye katoa kubwa zaidi.....siku akimzidi mond kimkwanja atapost sana kwa mbwembwe lkn asa iv hana cha kuonyesha, that is the naked truth.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni mpuuzi sana .Hapa hoja kwann ALI KIBA NI LOFA.....na DAIMOND tajiri.....ukweli ni kwamba MAADUI wa DAIMOND wanatumia nguvu nyingi sn kumbeba KIBA...na wakati wa kiba ushapita.....na ikumbukwe kuwa KAMA isingekuwa DIAMOND leo hii hyo BONGO FLEVA ingeshakufa kama BONGO MOVIE....na pia hiyo nyimbo ya SEDUCE me ni ya kawaida sn tu..NYIMBO ina maneno ya UPUUZI mtupu...mara MANDINGA.mara KIPUSA ....chuki zenu ndy zinambeba KIBAKULI....ndy maana tunasema NYIMBO ya INSTAGRAM na FACEBOOK tu...inaishia huko..huko..na siku zote huwezi fananisha THAMANI ya 504 PEUGEOT (KIBA)na BUGGATI CHIRON(DIAMOND)..kinachofanyika now ni kumfananisha DIANOND na vitu vya KIPUUZI..unasema diamond katoa nyimbo kibao ZIMEBUMA...kweli UPO VIZURI kiakili ? Diamond kachukuwa TUZO KIBAO kwa nyimbo hizo ulizosema ZIMEBUMA.....wakati huo KIBAKULI YUPO KIMYA TU haijulikani ANAIGIZA MOVIE au anachofanya... hivi kama wanamuzi wangekuwa mwaka mzima anatoa nyimbo moja kweli tungesikiliza mziki?au na wewe huyo diamond kakuchukulia? Maana visasi vingi ukiangalia ni vya wanawake na wivu wa maendeleo tu...unasema nani kamuanza mwenzie .....siku zote DIAMOND anatukanwa mitandaoni na watu wa KIBAULI...WEMA..HAMISA....na wale wote wenye chuki nae...kwani aliposema hawezikuwa km CINDERELA ni tusi?matokeo yake akanza kutukanwa matusi mazito ya nguoni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Team kiba watapita bila kusoma hiii hhhhhhhhhhDiamond yuko vizuri sana,hili wala halina ubishi, japo sipendi bifu kati yao, na response ya juzi haikuwa nzuri toka pande zote. Kiba ana sauti nzuri, Diamond ni performer, napenda kumuona jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani msanii mkubwa lazima awe na studio? Hivi wasanii wote wakubwa waarekani wana studio? Mbona mnakariri mambo na mnataka kila mmoja afanye hivyo hivyo? Akina Taylor Swift, Katy Perry na Nick Minaji wanamiliki studio?Mkuu huo mpunga anaufanyia kazi gani sasa mbona unampa sifa kibao za kupiga pesa wajati hata ofisi hana na hsijulikani kama analipa kodi?
Msanii mkubwa kama kiba hata studio hana alafu mnamsifia anapiga pesa hhhh hizo pesa anafanyia maendeleo gani jamani?
Hhhhh mashabiki wa kiba wengi ni mashabiki wa mdomo tu hhhhhh hawnaga matendo wao ni midomo tu kazi za bosi wao hawanunui na kwenye show hawaendi wao wanamsifia mitandaoni tu hhhhhhhhhhhhHawa Watu tunawafahamu tunaishi nao mtaani, Diamond ni tajiri.Mengine sio ya kuandika humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba ndio alianzisha choko choko baada ya kurudi kwenye gameNani alilianzisha hili beef nani chanzo cha haya yote....who was the first source of this shit (beef) labda nikisema apo utakuwa umenielewa.....imagine kiba angerudi tu kwny mziki kwa amani bila vijembe na mipasho kwa domo unafikiri huu ipuzi ungekuwepo....??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhhhhhhhmkuu.Kiufupi ni kuwa hana kitu.Mapaparazi wangeshatuonesha...sio lazima yeye aoneshe