dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
Kabla domo kubwa hajarusha mipasho yake kwenye ile nyimbo ya fid q Kiba alirusha kijembe gani before,Nani muanzisha beef kT ya hao wawili tuanze apo kwanza siyo unakurupuka tu......kiba si alirudi kw mbwembwe, vijembe na maneno kibao kama mwanamke mzalamo.....kiba ndo mwanzilishi wa hili beef.....asingerudi kwa vijembe na dharau kwa mwenzie sizani kama izi mambo zingekuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app