Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto.

Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.

Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.

Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa.

Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali.
 
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .

Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.

Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.

Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa

Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nipe namba yake. Unajua Mimi NI mhendsam, halafu Nina nafasi ya kukalia kiti na joho la mjengoni alivyosanda Jobu
 
Yani she just straight up told you she wants the d ?

images (4).jpeg
 
Yani she just straight up told you she wants the d ?

View attachment 2071383
inatokeaga kama mtu ana mashauzi sana watu wanamkula mme ilimradi tu, kuna ofisi moja nlikuaga...mdada mmoja kila siku story za mme, mme wangu hikii mme wangu kilee mme wangu heeee, akajitokeza shababi mmoja kwenda kujionea huyo mme ana nini 😁😁 akamkula.

kuna siku kanunua kuku, ooh naenda kumla na mme wangu, yule shababi akambeba mme usiku kucha hata kuku hakuliwa 😂😂😂 Kuna watu sii wa mchezo mchezo
 
Mkuu jamaa bado hajavuka hilo bonde. Kama boss kamaindi kweli cock ya jamaa ataanza kumpa wakati mgumu (threats) wife wake ofisini. Amini tutaletewa mrejesho hapa

Ahsante kwa angalizo kapten, haujasoma vizuri nilichoandika. Nimesema haimaanishi ameibuka kidedea au kushinda. Hii amefuzu mechi ya awali, ligi bado inaendelea.
 
Back
Top Bottom