Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .

Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.

Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.

Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa

Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna bora hapo mkuu, usijipe moyo, mwizi ni mwizi tu, uibe shilingi 500 na uibe milion 50. Wote wezi
 
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .

Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.

Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.

Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa

Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
kula nyama
 
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kumpigia mwanaume ili akamkaze. Labda tu awe ni mwanamke wako wa siku nyingi au ni malaya au kahaba.

Mbali na hayo mazingira naona kama unatupandisha gari ambalo siyo mkuu.
 
.
JamiiForums1459945286.jpg
 
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .

Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.

Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.

Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa

Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Miaka mingi iliyopita nami nilipitia kadhia hii.
Tena aliyenitaka alikuwa waziri mwanamke.
Nilienda kumlilia hali kwa shida kubwa iliyonipata, kwa kuonewa.
Aliahidi atanisaidia.
Siku mbili baadaye msaidizi wake akanipigia simu.
Na akasema bila kumung'unya.
Akasema mama amekupenda na anataka faragha na wewe!
Wacha !!!!
Niliruka kimanga, na nikasema hili jivu nililomo aheri nibakie tu huku, hapo ntakanyanga moto.
Nikatokomoea kusikojulikana!!!
 
Back
Top Bottom