Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .
Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife anipe namba ya moja ya staff mate wake nikawaelekeze home apo ndo shida ilipoanzia.
Nikaenda kuwapokea wanawake wanne walikua wadada wa makamo watatu ni mtu mzima wa 40+ mmoja ambae huyu ndo boss wa idara yao wife uko kazini kwao.
Baada ya kuwakaribisha home ikabdi me nichomoke niwape uhuru nikaenda baa nikakaa kaa mpka nilivorudi nyumbani wakawa washasepa
Siku mbili baadae boss wa wife kanipigia cm tuonane nimeonana nae mmama anataka nimpe dudu ya wife kwa muonekano mmama ni machine na nusu lkn nafsi yangu imekataa kumgonga mtu anaefanya kazi pamoja na wife Never na misimamo yangu ndo hyo sitakaa nitembee na mwanamke yeyote mwenye access na mke wangu Bora nikacheze mbali
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app