Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

inatokeaga kama mtu ana mashauzi sana watu wanamkula mme ilimradi tu, kuna ofisi moja nlikuaga...mdada mmoja kila siku story za mme, mme wangu hikii mme wangu kilee mme wangu heeee, akajitokeza shababi mmoja kwenda kujionea huyo mme ana nini 😁😁 akamkula.

kuna siku kanunua kuku, ooh naenda kumla na mme wangu, yule shababi akambeba mme usiku kucha hata kuku hakuliwa 😂😂😂 Kuna watu sii wa mchezo mchezo
Hahahahah kwahio shababi wa kike kainuka kidedea😅
 
inatokeaga kama mtu ana mashauzi sana watu wanamkula mme ilimradi tu, kuna ofisi moja nlikuaga...mdada mmoja kila siku story za mme, mme wangu hikii mme wangu kilee mme wangu heeee, akajitokeza shababi mmoja kwenda kujionea huyo mme ana nini 😁😁 akamkula.

kuna siku kanunua kuku, ooh naenda kumla na mme wangu, yule shababi akambeba mme usiku kucha hata kuku hakuliwa 😂😂😂 Kuna watu sii wa mchezo mchezo
Ila huyo muhusika sina shaka ni wewe tu sema unajivunga😅
 
Mapema mno kujitangazia ushindi..

Jipe muda kidogo
 
Bado upo hatua ya awali hujafika hata kwenye play off
 
Back
Top Bottom