Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto .
Japo ni kamba ila we jamaa ni lijinga
 
Oyaaa hiyo ni noma bora umekaza maana siku ungekuja kuzinguana nae mkeo angekosa kazi tena[emoji23]
 
Kama ni kweli basi ujue unapimwa imani.. Wife wako amaeamua kutikisa kiberiti kupitia kwa boss wake.
 
In short usigonge demu ambae yuko kwenye circle ya wife. Habar zinaweza zisifike leo.. ila zitafika tu.

Hongera kwa kulijua hilo
 
Kubali yaishe......nakutania angalia inaweza kua ni mtego!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Shetani ana nguvu sana na ushawishi mkubwa sana.. Bado hujavuka hilo jaribu.. Shetani akitaka lake huwa hashindwi
 
Ni swala la mda tu. ndo kwanza match ipo dk ya 12
 
Umefanya busara sana, ukiruhusu hili uhai wa mkeo unauweka rehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…