Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

Aisee
 
Hili pambano umeshinda leo tu ila utakuja kupokea kipigo kikali kama dulla mbabe soon.
 

Kwa sababu una gold? As simple as that?
 
Kama hii sio chai, basi tabu imeanza kwa mkeo kuwasimulia mashosti zake jinsi unavyomkunja...

Hapo kaanza boss, atakuja na mwingine na mwingine...sasa kazi ni kwako kuwa jogoo wa kuazima 😁
 
Hii game ni 180 minutes, first leg ndio imeanza tuko dk 15 tu..it's too early to celebrate [emoji23]
 
Chai
 
Una akili sana, wewe sio kibuyu....kuna watu hawana aibu hapo hapo ofisini kwa wife anaenda kutongoza!!!!
Dah,ilikuwa tabia yangu hiyo enzi hizo za nna 30+yrs, Mimi nilikuwa na uchu balaa,

Kuna house girl nilikuwa namtaka alishajaa tayari kwenye Line,Sasa bwana kumbe mungu alishanichoka akahamua kuniumbua, kuna siku wife yupo chumbani, Mimi natokea mlango wa nje kupitia jikoni,nafika kwenye korido inayotoka master bedroom na room zingine, nikakutana na house girl kwenye korido, Basi Mimi kwa umalaya wangu nikampiga kibao kwenye shavu kile Cha mahaba"
Mara wife nae muda huohuo anafungua mlango atoke nje, aisee ilikuwa patashika nguo kuchanika"

wanaume tuna tamaa Sana kmama'e
 
Kweli kwenye miti hamna wajenzi
 
nyie mnaokula housegirls ndio wa#*$#& kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…