Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Una uhakika na ulichokiandika?Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Mtake mistake ni Rais wenu tuh,mtafanya Nini sasaHata kaskazini hatumtaki + Mbeya na Iringa
Ndiyo hatutaki sasaMtake mistake ni Rais wenu tuh,mtafanya Nini sasa
Mama yupi huyo mama mzazi mama wa kambo au mama kimbo kama ni mama sa100 hebu na ww fanya utafiti wako umekosea mkuuKanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Lucas mwashambwa ukipenda kitu wewe Lucas usitegemee sote tukipende.Ungeamka hapo ulipolala usingizi itoke hata nje upate hewa safi .maana naona unaandika kama vile kipofu wa akili na macho. Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan anakubalika sana na mamilioni ya watanzania.anakubalika na kuoneshwa kutoka kila kona ya Taifa letu.hakuna kanda au mkoa ambao Rais Samia hakubaliki.
Kinachokutesa wewe na kukupofusha akili yako ni chuki zako binafsi za kijinga na kishetani.sasa wewe endelea na chuki zako na utaona namna mh Rais wetu anavyozoa na kukomboa kura zote kwa kishindo uchaguzi ujao.
Hakuna mtanzania mwenye kilo timamu anayeweza kumnyima Rais Samia kura ya ndio kwa mambo makubwa aliyotafanya kwa Taifa hili ndni ya muda mfupi.ona saizi wanafunzi wanaenda shuleni kwa raha kabisa bila bughudha baada ya kuwa wamejengewa madarasa ya kutosha na kulipiwa ada yote na Rais Samia.
Kama hamtaki basi mjitie tuh madole,Samia Inshallah fikirien baada ya 2030 ila Kwa Sasa ndie prezooNdiyo hatutaki sasa
Sikia wewe dunia bila mfumo dume hakuna dunia,na siku dunia yote dunia nzima ikitawaliwa na mfumo jike hapo ndiyo mwisho wa dunia kwa sababu siyo mpango wa Mungu.Lakini mfumo dume
Bora umemwambia.Lucas mwashambwa ukipenda kitu wewe Lucas usitegemee sote tukipende.
Peleka uchawa wako Mafia. Wewe umefika Mwanza na Geita ukasikia watu wanasemaje? Sukari Sasa Ni official 5,000 nauli Mwanza Dar unaijua? Unajua kipindi Cha nanihii ilikua Bei gani.
Wewe uko ndani hutoki nje Kama house girl, uliza watu wanaotoka nje wanavyosema.
Kwani mumeo hawezi kugombea mkuu?Kama hamtaki basi mjitie tuh madole,Samia Inshallah fikirien baada ya 2030 ila Kwa Sasa ndie prezoo
Kanda ya ziwa ccm na samia wamepoteza ushawishi...usikataeeKanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Sio lazima mumtake, ila ndo Rais mpk 2030 hizi zenu kelele za chura tuKanda ya ziwa siyo wajinga kama watu wa pwani na kati, Ziwa na kaskazini hatumtaki maza
Umtake usimtake haitompunguzia madaraka yakeHata kaskazini hatumtaki + Mbeya na Iringa
Mpuuzi weweSio lazima mumtake, ila ndo Rais mpk 2030 hizi zenu kelele za chura tu
Hakuna asiejuwa hilo hujaelewa nilichomanishaSikia wewe dunia bila mfumo dume hakuna dunia,na siku dunia yote dunia nzima ikitawaliwa na mfumo jike hapo ndiyo mwisho wa dunia kwa sababu siyo mpango wa Mungu.