Bahati mbaya sana watu mnaitizama Kanda ya Ziwa kwa jiografia yake. Bwashee Hali ni mbaya sana, takwimu zinaonesha 80% ya population ya Kanda ya Ziwa imetapakaa mikoa yote Tanzania Bara!!Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Inahitajika kazi ya ziada kuwaweka sawa hawa watu!! Msoga na vijana wake kina Makamba waliteleza sana kuwachukulia watu hao kama wahalifu